Hizi propaganda zineishafeli tayarjView attachment 1486569
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:
Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.
Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!
View attachment 1486569

Mpaka kufa kwake hata uwaziri mkuu hataupata kwanye nchi hii, amin nawaambia.Hizi cheap propaganda za lumumba hazitasaidia chochote kuikoa ccm dhidi ya moto wa mh Lissu kuchukua kijiti cha kuwaongoza watanzania.
Mpaka kufa kwake hata uwaziri mkuu hataupata kwanye nchi hii, amin nawaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watoto Kumchallenge mwalimu ni upeo mkubwa wa fikra, wapo Akina tuntemeke, kasanga Tumbo, kambona, rwizandekwe, Bibi titi, kamaliza, fundikra, mtikila, Uncle Tom, ngaiza, oboud jumbe, mwijageView attachment 1486569
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:
Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.
Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!
Mpaka kufa kwake hata uwaziri mkuu hataupata kwanye nchi hii, amin nawaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamsingizia sana Mungu kamchagua lini huyu fisadi mungu anakazi nyingi jamani mwacheni apumzikeLissu ni chaguo la mungu kuja kutukomboa watanzania View attachment 1486573
hata wewe unautaka uraisi siyo yeye tu mbowe magu msigwa, kimbembe kuupata usimbuke sana na lisu pekee ukamsahau membe na kaka yako pia anautaka
Mwasheria nguli mtetezi wa wananchi ni zaidi ya uwaziri mkuMpaka kufa kwake hata uwaziri mkuu hataupata kwanye nchi hii, amin nawaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia mtu yeyete asiye na adabu kama lissu anpoishia ni matatizoni tu haijawahi kuwaacha salama mwache lissu avune alichokipandaAliyeanzisha chama si yesu mpya mjini