Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Na waliokaa gerezani na hawakupata urais wapo wengi tu kuliko walioupata.

Isitoshe hizo zama za marais kutokea gerezani zimeisha,ndo maana aliowataja wote walifungwa 1960s au 70s huko tena colonial era!
 
Anavuna kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania maana alupanda upendo kwa watanzania
angalia mtu yeyete asiye na adabu kama lissu anpoishia ni matatizoni tu haijawahi kuwaacha salama mwache lissu avune alichokipanda
 
Tulieni dawa iwaingie vema kusudi mpone vichaa vyenu
yaani mnavyojipaga moyo eti mwaka huu mnaenda ikulu mnafikiri ni sokoni hapo walevi kama mbowe hawaingii hovyo mnajipa moyo mnajifariji huku mkijua kabisa kuwa hamendi
 
Liwe jua iwe mvua watanzania tumesha amua kuwa Lissu ndiye chaguo letu
Na waliokaa gerezani na hawakupata urais wapo wengi tu kuliko walioupata.

Isitoshe hizo zama za marais kutokea gerezani zimeisha,ndo maana aliowataja wote walifungwa 1960s au 70s huko tena colonial era!
 
Naona dawa imeanza kufanya kazi
yaani mnavyojipaga moyo eti mwaka huu mnaenda ikulu mnafikiri ni sokoni hapo walevi kama mbowe hawaingii hovyo mnajipa moyo mnajifariji huku mkijua kabisa kuwa hamendi
 
Anavuna kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania maana alupanda upendo kwa watanzania
sasa ni upendo gani aliowapandia wa tz hayo matusi anayotukana kila siku hebu ajaribu kuiga siasa kama za bwana mdogo lazaro nyarandu hivi ushawahi kumsikia anatukana huyu mtu? lakini huyu kingwendu wenu matusi kila siku halafu awe rais eti mnajipa moyo kweli
 
Hayo matusi unayajua wewe kwa kutumia dictionary ya lumumba.
sasa ni upendo gani aliowapandia wa tz hayo matusi anayotukana kila siku hebu ajaribu kuiga siasa kama za bwana mdogo lazaro nyarandu hivi ushawahi kumsikia anatukana huyu mtu? lakini huyu kingwendu wenu matusi kila siku halafu awe rais eti mnajipa moyo kweli
 
Nadhani wewe hata mtoto huna ndiyo maana una mawazo ya kikatili
mimisiyo katili sababu ninawatoto nataka waione tz yao ikinawiri chini ya jpm huyo lissu atakuja kutubadirishia chi yetu iwe ya kishoga maana ndiyo wafadhiri wake na hilo mtabisha wakati kila siku tunamuona nao wanapiga picha
 
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa watanzania. View attachment 1486565
The fact is hao anaojilinganisha nao wako completely the opposite of him.
Akina Castro hawajawahi kuwa mawakala wa mabeberu wakitishia nchi zao zisichukue hatua za kurekebisha mikataba ya mali asili zao kwa sababu ya MIGA?
Wao walikuwa bold na wenye misimamo zidi ya mabeberu kama MAGUFULI
Lisu hata KURUDI nyubani tu ANAGOPA.
 
Hizi cheap propaganda za lumumba hazitasaidia chochote kuikoa ccm dhidi ya moto wa mh Lissu kuchukua kijiti cha kuwaongoza watanzania.
Moto wa uwenyekiti tu (aka FARU JOHN) ulimshinda, ndo atauweza wa CHUMA aka JIWE?
 
Back
Top Bottom