Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari kashinda kura za maoni ndani ya chama?Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Mkuu unapaswa kujibu swali langu sio kunishambulia kwa mgongo wa ccmKwani kura za maoni zina ui muhimu?
Kama zina umuhimu inakuwaje ccm wametoa fomu moja tu? Huo umuhimu unauona leo kwa cdm?
Anafaa sana huyu shujaa, ila tuwe makini manake ccm wanamipango ya kumkamata na kumweka ndani na hapo ndio vurumai itatawala uchaguzi wote.Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Sky Eclat,
Aliyeanzisha chama alishasema Lissu ana laana wewe ni nani mpaka unasema hana laana huyo lissu anachokivuna sasa ni mazao ya domo lake kuropoka mpaka kwa wazee
angalia mtu yeyete asiye na adabu kama lissu anpoishia ni matatizoni tu haijawahi kuwaacha salama mwache lissu avune alichokipanda
UsijaliMkuu samahani kama umeona nimekushambulia, haikuwa nia yangu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Pamoja
Hutuwezi kuwa na rais mnyoa kiduku
Yeye Tundu Lissu yuko gereza gani?Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Mtanzania gani anaongozwa na Tundu Lissu?Lissu kaamua kutuongoza watanzania ni bahati iliyoje? View attachment 1486572
Mwambie Lissu alishusha carier yake kwa kunyoa kiduku tu.Umeishiwa hoja.
Cheo kingine kikubwa labda alishakuwa rais wa TLS, huo uwaziri mkuu wala usimfikirie ni mbali Sana huko.Mpaka kufa kwake hata uwaziri mkuu hataupata kwanye nchi hii, amin nawaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nahamia nchi ya Zanzibar. kwa babu jecha.Hutaki hama nchi