Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Na wanao kufuru kumfananisha mungu na jiwe
Atakuwa...
JamiiForums967174801.jpg
 
Huu uzi tunazungumzia mh Lissu tuu, kama unataka kuwazungumzia hao ulio wataja basi pandisha uzi wao
muongeze na membe acha uoga, mbowe achana nae utaonekana unapendelea walevi , magu tuachie sisi
 
Membe kashafika kimanzi chana anaelekea anaingia jijini muda siyo mrefu tunakwenda kumsindikiza kuchukua form ya kugombea urais kupitia ccm, mataga jiandaeni

T
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.

View attachment 1486565
Tizama ndugu, hao wote aliowataja Lisu walikuwa na full support ya watu wao aidha vyama vyao, wananchi na hata support ya bara la Afrika na wengine dunia nzima. Huwezi ukasaliti nchi alafu ukajifariji kwamba ukifungwa utakuja kuwa mfalme wa siasa ni ujinga. Nimuonavyo Lisu anajua ana kesi inamsubiri huku Tz kwa hiyo anajiandaa kisaikolojia ili ikitokea amefungwa basi atakuwa na tegemeo fulani. Huyu amekata tamaa baada ya mwenyekiti wake kutangaza anagombea Urais ameshaona nafasi yake ni finyu kupata nafasi.
 
Membe kashafika kimanzi chana anaelekea anaingia jijini muda siyo mrefu tunakwenda kumsindikiza kuchukua form ya kugombea urais kupitia ccm, mataga jiandaeni
safi sana endelea.kukurupuka tu, huku lisu kule membe, utakapokuja kuangukia pua unakuta magu ndiye raisi wako , endelea nao.mbowe piga chini mpaka atubu kupunguza pombe
 
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.

View attachment 1486565
.
JamiiForums-614469029.jpg
 
Ccm na Membe, cdm na Lissu

Back
Top Bottom