Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T
Tizama ndugu, hao wote aliowataja Lisu walikuwa na full support ya watu wao aidha vyama vyao, wananchi na hata support ya bara la Afrika na wengine dunia nzima. Huwezi ukasaliti nchi alafu ukajifariji kwamba ukifungwa utakuja kuwa mfalme wa siasa ni ujinga. Nimuonavyo Lisu anajua ana kesi inamsubiri huku Tz kwa hiyo anajiandaa kisaikolojia ili ikitokea amefungwa basi atakuwa na tegemeo fulani. Huyu amekata tamaa baada ya mwenyekiti wake kutangaza anagombea Urais ameshaona nafasi yake ni finyu kupata nafasi.
utajua wewe mimi nijuavyo wote hao ni wapingaji badala ya kuwa wapinzani hadi wewe maana unapinga hata usilolijuaCcm na Membe, cdm na Lissu
utajua wewe mimi nijuavyo wote hao ni wapingaji badala ya kuwa wapinzani hadi wewe maana unapinga hata usilolijua
Kama ilivyo buma kiki mliotaka kutoka nayoHii nyimbo ni zilipendwa
unaota wewe kama si kuoteshwa ndoto za mchana mchana, lisu na membe bora yupi au kwako bora liende jinga lolote??Wewe unajua nini? Uoga wenu safari hii ndiyo lazima muugue magonjwa ya moyo maana wote hao wanaingia kwenye kinyang'anyiro
Hao wazee wakalee wajukuuView attachment 1486569
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu.
Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972.
Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke:
Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao.
Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!
ngumi nini hata vibao naweza kukuzaba angalau nikupunguzie uzwazwa kama si.kupunguza hasira zanguWacha kurusha ngumi hewani, tulia tulii watuletee mabadiliko
Tunataka mtu mwenye utamu wa mwili na akili kwa 100%..Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Mleta mada usimchukuliage serious, ana memory lapses, baada ya dk tano tu atasahau na kuja na Membe for 2020...Kwani Chadema Wameshamsimamisha Lisu?
HahahahahaMleta mada usimchukuliage serious, ana memory lapses, baada ya dk tano tu atasahau na kuja na Membe for 2020...
Tabu ya Lisu anaongerea chumbani hataki kutokea sebureni, nikama mbwa koko ukisikia linabweka utafikili bonge la Mbwa lakini lisogeree uone linavyokunja mkia na kukimbilia nyuma ya nyumba. Tangia ametuaidi kuwa anarudi sasa unaenda mwaka, jasiri asemi maneno ya mipasho bali anatenda vitendo. Lisu anazidiwa na Mchungaji Mtikira R. i. p, alikuwa haogopi. Lisu anamwogopa Magufuri lasivo arudi nchini apambane, tumechoka mipasho. Mungu ibariki TanzaniaAmeandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Tabu ya Lisu anaongerea chumbani hataki kutokea sebureni, nikama mbwa koko ukisikia linabweka utafikili bonge la Mbwa lakini lisogeree uone linavyokunja mkia na kukimbilia nyuma ya nyumba. Tangia ametuaidi kuwa anarudi sasa unaenda mwaka, jasiri asemi maneno ya mipasho bali anatenda vitendo. Lisu anazidiwa na Mchungaji Mtikira R. i. p, alikuwa haogopi. Lisu anamwogopa Magufuri lasivo arudi nchini apambane, tumechoka mipasho. Mungu ibariki Tanzania
Kwa maana hiyo sio 2020, itabidi tusubiri wamfunge kwanza adi akitoka ndio aje awe rais. Na hili la kumfunga lipo wazi sana wala halihitaji kufikiri sana. Hasa na hivi alivyotangaza kuutaka urais. Wanamsubiri kwa hamu siku atakayoingia nchini na yeye analifahamu hilo.Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Keyboard warrior,Jasiri anarudi lini maana naye sasa ameshakuwa Keyboard warrior.
Kwa maana hiyo sio 2020, itabidi tusubiri wamfunge kwanza adi akitoka ndio aje awe rais. Na hili la kumfunga lipo wazi sana wala halihitaji kufikiri sana. Hasa na hivi alivyotangaza kuutaka urais. Wanamsubiri kwa hamu siku atakayoingia nchini na yeye analifahamu hilo.
Keyboard warrior,
Uanajivunia jela,polisi,Jeshi,tiss,ffu,traffick polisi,mgambo,jkt na wooote wanaolipwa kwa Kodi zetu.
Waambie Marais wastaafu na walio madarakani watembee barabarani bila walinzi wao, ili tujue Nani anapendwa kikwelikweli na wananchi.
Kabla ya tukio lenye historian mbaya kabisa ktk nchi yetu pale Dom juu ya TL,TL hakua keyboard warrior.
Ruhusu mikutano huru,ruhusu mijadala huru redioni TV na popote pale utaona Kama Ni keyboard warrior ama la.
Hata wewe CCM ikitoka sijui Kama itaendelea kuwaita wengine keyboard Warrior.