Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Vip zile kesi zake za Kisutu. Akikutwa na hatia na akuhukumiwa kufungwa itakuwaje ?
 
Nyie watoto Kumchallenge mwalimu ni upeo mkubwa wa fikra, wapo Akina tuntemeke, kasanga Tumbo, kambona, rwizandekwe, Bibi titi, kamaliza, fundikra, mtikila, Uncle Tom, ngaiza, oboud jumbe, mwijage

Makosa ya mwalimu ndo yanapelekea nchi ni maskini kupindukia

We unadhani Kila mtu ameumbwa kwa ajili ya kuabudu na kusujudu
Ni wapumbavu pekee hawajui mchango wa Nyerere katika suala la ufukara, uvivu na umaskini wa kupindukia.
Nyerere hajawahi kuwa na sera bora za kutukwamua kutoka katika lindi la umaskini uliotopea na aling'atuka kwa aibu.
Watu kwa upumbavu na unafiki hawataki kuukubali ukweli au hata kuusema.
Sera za ujamaa ulioshindwa zimatufikisha hapa...eti zidumu fikra za nani vile!!!
 
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Lissu to be a president?!!!
Of all the people!
Franly speaking, he does not have the qualification. Being just good in constitution and laws does not make a person fit to a presidential position.
 
HAAA
Yaaan huo utu uzima wako unaona point ndio ushoga? Poleeeh sana muambie huyo yesu mpya mjini aache kuomba msaada kwa hao mashoga, khaaaah hovyooooh
haaaaa ushaona anashobokea misaada ya hao mashoga ? hanampango nao kabisa endeleeni tu hapa hampati kitu
 
Back
Top Bottom