Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Mkuu Lissu Kamanda Wakati unakuja usisahau kuweka chip mwilini tuwabaini wasiojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Sikutegemea Tundu Lissu, kati ya watu wote, atumie maneno "ufalme wa kisiasa," anatamani kupata ufalme wa kisiasa.
Amepigwa risasi akipinga "imperial presidency....Urais wa Kifalme," kwa lugha yake mwenyewe.
Kasahau mara hii?
Huna akili wewe za kushindana na Lissu
Ni muke ya mutu huyooNadhani wewe hata mtoto huna ndiyo maana una mawazo ya kikatili
Hakuna mtu wa kukuelewa wewe na akili zako za kuokotezaYeye kanielewa, kwamba hapo amepotoka.
Na kina Nehru, Mandela, Mugabe, Kenyatta siku wanakamatwa hawakuwa katikati ya kampeni za uchaguzi wawe maraisi. Walikuwa kwenye harakati za kutafuta haki, baadae ilipopatikana wakaamimiwa na wenzao dhamana za kuongoza.
Hivyo, kihistoria pia ni makosa makuu, epic blunder, kusema unatamani ufalme wa kisiasa kama wanaharakati hao waliokuja kuwa marais.
Tundu Lissu ametaka kuuliwa akipinga ufalme wa kisiasa, asiutamani kama walivyokuja kufanya wakina Mugabe na Kenyatta, wakageuka manduli.
Ngoja tusubiri the unthinkable iwe thinkable.Ameandika tena Tundu Lissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.
View attachment 1486565
Jiandae kuwa chini ya uongozi wa mh Lissuhalafu Tundu Lissu, of all the people, unawezaje kumtaja Robert Mugabe kama mfano wa kuigwa wa wanasiasa waliotoka mbali na kufanikiwa makubwa ???
That's a mind bending proposition. Mugabe lilikuja kuwa dikteta mithili ya kaburu, na unajua matukio ya Ndebele massacre.
Komredi wa kupigania haki za raia na demokrasia, hapo umechemka!
Dah very touching, ni kile kitisho cha Sirro cha juzi, hivi inakuaje nchi huru na yenye undugu kama hii tunatishiana kiasi hiki? Unafaidika nini kw akuumia kwa mwingine?Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Hakika ni maneno ya kishujaa sana, yaliyotolewa na shujaa wetu Tundu Antipas LissuAnaandika @TunduALissu
Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.
Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye (Nelson Mandela) aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.
Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.
Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.
Wapo pia wale waliojitokeza 2014, akina Mwigulu, Kigwangala, Lowasa etc wanautaka isipokuwa wanaogopa yaliyompata Mangula.Mmawia,
Hata wewe unautaka uraisi siyo yeye tu Mbowe Magu Msigwa, kimbembe kuupata usimbuke sana na lisu pekee ukamsahau membe na kaka yako pia anautaka.
hata wewe jomba acha kujifichaficha kwa wengine, auutaki uraisi wewe? ona uvyojichekea kimoyomoyo, eti na wewe uwe raisi .....duh, lisu nae awe raisi.duhWapo pia wale waliojitokeza 2014, akina Mwigulu, Kigwangala, Lowasa etc wanautaka isipokuwa wanaogopa yaliyompata Mangula.
A rational mind can not consider this propaganda as effective. Wamechelewa!Hizi propaganda zineishafeli tayarj
Awakomboe Watanzania kwa lipi na Watanzania gani hao? Yeye aendelee kupiga hela za wajinga wajinga eti michango ya UraisAmeandika tena Tundu Lissu