Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.

View attachment 1486565
Tayari kashinda kura za maoni ndani ya chama?
 
Kwani kura za maoni zina ui muhimu?
Kama zina umuhimu inakuwaje ccm wametoa fomu moja tu? Huo umuhimu unauona leo kwa cdm?
Mkuu unapaswa kujibu swali langu sio kunishambulia kwa mgongo wa ccm

Jibu lilikuwa ni rahisi tu

Ndio au hapana wala hatupaswi kushambuliana
 
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.

View attachment 1486565
Anafaa sana huyu shujaa, ila tuwe makini manake ccm wanamipango ya kumkamata na kumweka ndani na hapo ndio vurumai itatawala uchaguzi wote.
 
Sky Eclat,
Aliyeanzisha chama alishasema Lissu ana laana wewe ni nani mpaka unasema hana laana huyo lissu anachokivuna sasa ni mazao ya domo lake kuropoka mpaka kwa wazee

Uko sahihi sana, lakini jitahidi kuweka koma na nukta basi kwenye sentensi zako.
 
angalia mtu yeyete asiye na adabu kama lissu anpoishia ni matatizoni tu haijawahi kuwaacha salama mwache lissu avune alichokipanda

Lisu hana tabia za ukondoo ili apate madaraka. Nipe tofauti ya Lisu na Magufuli kwenye matumizi ya mdomo.
 
Ameandika tena Tundu Lissu

Mzee Jomo Kenyatta wa Kenya, alikaa gerezani miaka tisa. Alipotoka kifungoni alienda moja kwa moja Ikulu ya Kenya kama Rais.

Fidel Castro alikaa gerezani miaka miwili gerezani, lakini aliishia kuwa Rais wa Cuba. Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27, naye aliishia kuwa Rais wa Afrika Kusini iliyokuwa huru.

Wapo pia akina Kwame Nkrumah, Jawaharlal Nehru, Robert Mugabe n.k.

Mifano ni mingi sana throughout human history. Anayeogopa machungu ya gereza basi hayuko tayari kwa ufalme wa kisiasa.

Hakika huu ni ujasili ulio pitiliza na inaonyesha kadhamilia kuwakomboa Watanzania.

View attachment 1486565
Yeye Tundu Lissu yuko gereza gani?
 
Back
Top Bottom