Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara.
Kwa wasiolewa,wako baadhi ya watumishi walipata promotion enzi za JK mfano mwaka 2015, huku madai yao hayo yakiwa yamehakikiwa awamu hii kwa madai ya kujiridhisha kabla ya kulipa, lakini hawalipi licha ya kila wakati watumishi kutakiwa kujikaza form za madai ambazo huwasilishwa hazina kwa ajili ya malipo,malipo ambayo hayafanyiki.
Pia,kuna kipindi ziliibuka taarifa /madai ya baadhi ya watumishi kufutiwa barua zao za kupanda vyeo lengo likionekana ni serikali kukwepa kulipa malimbikizo ya mishahara jambo ambalo sio sahihi kabisa na miaka ya nyuma sidhani kama mambo ya aina hii yaliwa fanyika
Kwa kifupi,serikali hii imenyanyasa sana watumishi wa umma na huu ndio wakati sahihi wa kuyasema haya hivyo Lissu yaseme hadharani kila mtu asikie.
Kwahiyo, Lissu unapoongelea swala la watumishi kutoongezewa mishahara, usiache kuongelea pia na maswala haya ya serikali hii kutolipa madai mengine ya watumishi wa umma kwa muda mrefu sasa.