Tundu Lissu

Joram M

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
24
Reaction score
10
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama
 
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama

vp kifurushi cha internet kimekata? Au ndio ulipanga kuishia hapo!
 
hivi na wewe ni mwanachadema toka lin ?
 
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama

Kumuelewa Lissu shurti IQ yako iwe above average pasi na hivyo ni tofauti kati yako na Lissu ni kama Kifo na usingizi! let the man do his work, tunaomuelewa tunajua anachokisema na kufanya. wewe endelea kuwasikiliza kina Nchemba na Nape ambao wana simple minds kama wewe bro!
 
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama
Kweli tunawatu Wehuu wengi humu ndani bro kumuelewa TL inatakiwa uwe na akili timamu sio uwe mwehu.
 
Kweli tunawatu Wehuu wengi humu ndani bro kumuelewa TL inatakiwa uwe na akili timamu sio uwe mwehu.

Umejigundua ehee...?! Ukiwa na uwezo mdogo wa uelewa, hata mtu akijamba mfululizo unaweza shangilia. Unatakiwa uulize, kujamba mfululizo ni tatizo
 
Mi ananifurahishaga tu akiwa anaongea anavyokaza mishipa ya shingo kama kabanwa vikimba vya constpation si unajua vile viko kama vya mbuzi.
 
anaongea sana kwa vile anayoongea ni mwiba kwa CCM na utawala wake dhalimu
JK alikiri ni heri dr slaa awe rais kuliko Tundu kuwa mbunge
na kesho msubiri bungeni kutawaka moto Kinana wenu kumiliki ubia na wachina mradi wa kuiba pembe za ndovu
 

Wanaohitaji kuwa na IQ above average ni Tundu Lisu mwenyewe na CHADEMA kwa ujumla wao. Tundu Lisu akikutana na tatizo la CCM au Serikali anapoweza kushitaki ni kwa Kikwete, kupiga kelele Bungeni au hata kutoka katika ukumbi wa Bunge kwa sababu huko kuna CCM wanaoburuza hoja. Huoni hapa pana kasoro? Kote atakakokwenda Tundu Lisu na CHADEMA yao anakutana na CCM. Bahati mbaya Tundu Lisu huyo huyo anataka wananchi wampe dola ili CHADEMA nao wawe kama CCM ambapo CCM watakapolalamikia CHADEMA watakwenda kwa Mbowe, au Bunge lenye wingi wa Wabunge wa CHADEMA. Badiliko la uongozi la namna hiyo linahamisha ufinyu wa fikra kutoka CHADEMA kwenda CCM. Sasa nani mwenye IQ ya juu hapa.

Nisiseme zaidi mwishowe nitasingiziwa natukana watu. Tundu Lisu ana kelele kwa sababu kuna kasoro ambayo hata yeye anaitaka iendelee kuwepo asijekosa ulaji unaotokana na kasoro hiyo. Sijamsikia Tundu Lisu akitaka mfumo wa mzunguko wa umasikini uliopo wa CHADEMA kuishitaki CCM kwenye CCM au kwa kutoka kumbini kupinga CCM uondolewe. Katika mfumo wa sasa hata CHADEMA wakiingia madarakani matatizo ni yale yale na kwa sababu ya ukabila na umkoa uliojaa CHADEMA siajabu matatizo yakawa makubwa zaidi.
 
Ndugu..unajua unachokiongea lakini?
 
Inawezekana yasiishe lkn wakaja na namna bora ya deal nayo. Ni dhambi kuhukumu kwa kudhania au ndo ukomo wa upeo wako
 
Watu wanashindwa kuelewa uwezo wa Lissu katika weledi wa sheria na siasa.above all these TL ni active Chief Whip wa kambi ya upinzani nafasi inayompa fursa na kumtaka k kuongea mara kwa mara kufanya marekebisho inapobidi kwa niaba.nafasi ambayo wabunge wengine hawana muda wote
Ndio maana hata Spika analazimika kumpa nafasi zaidi kama ilivyo kwa Lukuvi atumiapo nafasi ya Chief whip wa upande wa Serikali
 
pamoja na kuwa mahili ktk sheria lkn ni mshamba wa siasa amevamia tuu anafikiri hapo ni mahakamani hapo ni bungeni na siasa ni siasa tuu..
 
Ndugu..unajua unachokiongea lakini?

Inkoskaz, hapa ndipo unapokutana na vipimo vya IQ! Umeuliza swali baada ya kusoma ninachokiongea, hukuelewa (au niseme umeelewa sana) na sasa unauliza kama mimi mwongeaji mwenyewe naelewa ninachokiongea? Nikukumbushe tatizo la walimu na wanafunzi, mwanafunzi akiongea sana kuhusu mambo aliyoyasoma wakati wa kujisomea halafu mwalimu akashindwa kumwelewa kwa sababu hajui, baasi mwalimu humwambia mwanafunzi wake:"Achana na hayo, hayako kwenye silabas.

Inkoskaz, niliyoyaongea yapo kwenye silabas, fanya rejea tu Ticha utayakuta. Mimi sipimi IQ yangu kwa kupiga kelele, najali lililopo katika mjadala na kwa nini lipo. Unajua watu hupata umaarufu hata kwa kujadili vitu irrelevant ili mradi viwe na wasiovielewa na wako tayari kusikiliza. Ndiyo Tundu Lisu wako huyo.
 
Umesomeka mkuu Jogoo wa shamba..nisaidie machache TL aliyoongea ndivyo sivyo nami nielimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…