Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama
vp kifurushi cha internet kimekata? Au ndio ulipanga kuishia hapo!
Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama
hivi na wewe ni mwanachadema toka lin ?
Kweli tunawatu Wehuu wengi humu ndani bro kumuelewa TL inatakiwa uwe na akili timamu sio uwe mwehu.Huyu jamaa anaongea sana na kapiliza. Unaweza fika sehemu usielewe anataka nini. Chadema hakuna control au ethic committee kudhibiti watu kama hawa? Nadhani wazee wetu Chadema msizidiwe nguvu, tutaua chama
Kweli tunawatu Wehuu wengi humu ndani bro kumuelewa TL inatakiwa uwe na akili timamu sio uwe mwehu.
Kumuelewa Lissu shurti IQ yako iwe above average pasi na hivyo ni tofauti kati yako na Lissu ni kama Kifo na usingizi! let the man do his work, tunaomuelewa tunajua anachokisema na kufanya. wewe endelea kuwasikiliza kina Nchemba na Nape ambao wana simple minds kama wewe bro!
Ndugu..unajua unachokiongea lakini?Wanaohitaji kuwa na IQ above average ni Tundu Lisu mwenyewe na CHADEMA kwa ujumla wao. Tundu Lisu akikutana na tatizo la CCM au Serikali anapoweza kushitaki ni kwa Kikwete, kupiga kelele Bungeni au hata kutoka katika ukumbi wa Bunge kwa sababu huko kuna CCM wanaoburuza hoja. Huoni hapa pana kasoro? Kote atakakokwenda Tundu Lisu na CHADEMA yao anakutana na CCM. Bahati mbaya Tundu Lisu huyo huyo anataka wananchi wampe dola ili CHADEMA nao wawe kama CCM ambapo CCM watakapolalamikia CHADEMA watakwenda kwa Mbowe, au Bunge lenye wingi wa Wabunge wa CHADEMA. Badiliko la uongozi la namna hiyo linahamisha ufinyu wa fikra kutoka CHADEMA kwenda CCM. Sasa nani mwenye IQ ya juu hapa.
Nisiseme zaidi mwishowe nitasingiziwa natukana watu. Tundu Lisu ana kelele kwa sababu kuna kasoro ambayo hata yeye anaitaka iendelee kuwepo asijekosa ulaji unaotokana na kasoro hiyo. Sijamsikia Tundu Lisu akitaka mfumo wa mzunguko wa umasikini uliopo wa CHADEMA kuishitaki CCM kwenye CCM au kwa kutoka kumbini kupinga CCM uondolewe. Katika mfumo wa sasa hata CHADEMA wakiingia madarakani matatizo ni yale yale na kwa sababu ya ukabila na umkoa uliojaa CHADEMA siajabu matatizo yakawa makubwa zaidi.
Ndugu..unajua unachokiongea lakini?
Umesomeka mkuu Jogoo wa shamba..nisaidie machache TL aliyoongea ndivyo sivyo nami nielimikeInkoskaz, hapa ndipo unapokutana na vipimo vya IQ! Umeuliza swali baada ya kusoma ninachokiongea, hukuelewa (au niseme umeelewa sana) na sasa unauliza kama mimi mwongeaji mwenyewe naelewa ninachokiongea? Nikukumbushe tatizo la walimu na wanafunzi, mwanafunzi akiongea sana kuhusu mambo aliyoyasoma wakati wa kujisomea halafu mwalimu akashindwa kumwelewa kwa sababu hajui, baasi mwalimu humwambia mwanafunzi wake:"Achana na hayo, hayako kwenye silabas.
Inkoskaz, niliyoyaongea yapo kwenye silabas, fanya rejea tu Ticha utayakuta. Mimi sipimi IQ yangu kwa kupiga kelele, najali lililopo katika mjadala na kwa nini lipo. Unajua watu hupata umaarufu hata kwa kujadili vitu irrelevant ili mradi viwe na wasiovielewa na wako tayari kusikiliza. Ndiyo Tundu Lisu wako huyo.