Tundu Lissu's wrongful imprisonment on treason charges may affect Professor Janabi 's WHO leadership candidacy

Tundu Lissu's wrongful imprisonment on treason charges may affect Professor Janabi 's WHO leadership candidacy

Sasa hivi kuna watu wanapiga propaganda za makusudi, wakijaribu kumchafua Profesa Janabi — mgombea wa uongozi wa WHO — kwa kumhusisha na kesi ya kisiasa ya Tundu Lissu. Hili jambo halina ukweli kabisa.

Ni vizuri tukawa wazi: Profesa Janabi si mwanasiasa. Yeye ni mtaalam wa afya aliyefanya kazi kubwa ndani na nje ya Tanzania kwa miaka mingi. Anachogombea WHO kinahusiana na taaluma na mchango wake kwenye sekta ya afya, si siasa zetu za ndani.

Kumvuta Janabi kwenye siasa za Lissu ni propaganda za wazi zinazolenga kumharibia jina bila sababu ya msingi.
Masuala ya haki za binadamu ni muhimu, lakini yanahitaji kushughulikiwa kwa njia sahihi — si kwa kuharibu nafasi za watu wengine ambao hawahusiki.

Tukumbuke pia:
  • Janabi hana mamlaka ya kisiasa ya kuamua hatima ya kesi ya Lissu.
  • WHO si chama cha siasa; ni taasisi ya afya. Wanachotazama ni uwezo wa mtu kwenye afya ya dunia, si rekodi ya siasa za nyumbani.
Tuna madhara makubwa tukikosa hekima:
Kuwavuruga wataalamu wetu kwa sababu ya chuki za ndani ni kujiharibia kama taifa mbele ya macho ya dunia.

Tanzania inapaswa kujivunia ina watu kama Profesa Janabi wanaotambulika kimataifa.
Kutumia kesi ya mtu mmoja kuharibu mafanikio ya mwingine ni kukosa upeo na kuendekeza siasa za chuki zisizo na faida.

Kwa kifupi kabisa:
Siasa za ndani haziwezi kuwa kigezo cha kuzuia mafanikio ya kitaaluma ya Mtanzania yeyote.
Tundu Lissu ana haki ya kupigania haki yake — lakini hiyo haimaanishi tunapaswa kuwaharibia wengine maisha yao kwa chuki au propaganda.
Badala ya kueneza propaganda zisizo na kichwa wala miguu, CHADEMA wangekazia juhudi zao kwenye kudai utawala wa sheria.

Kama sheria zitaheshimiwa, haki itapatikana kwa kila Mtanzania — si kwa Tundu Lissu pekee. Tanzania itakuwa na uhuru zaidi, haki zaidi, na maendeleo ya kweli.

Tunahitaji taifa la sheria, si siasa za kihisia.
 
Tundu Lissu’s wrongful imprisonment on treason charges has significant implications, not only for his political career but also for the broader context of leadership in Tanzania and beyond.

Lissu, a prominent opposition figure, has been a vocal advocate for democracy, human rights, and good governance in Tanzania. His imprisonment, which many view as politically motivated, raises serious questions about the state of justice and political freedom in the country.

Lissu's rise in Tanzanian politics has been marked by his commitment to challenging the status quo.

As a member of the Chadema party, he has consistently criticized the government’s actions, particularly under the leadership of President John Magufuli and his successor, Samia Suluhu Hassan.

Lissu’s stance against corruption and authoritarianism has earned him both supporters and detractors. His imprisonment, therefore, is seen by many as an attempt to silence dissent and undermine the opposition.

The charges of treason against Lissu are widely regarded as unfounded. The allegations stem from his outspoken criticisms of the government, which have been framed as threats to national security.

This situation reflects a troubling trend in many countries where dissidents are targeted through legal means to stifle political opposition.

Lissu’s case has garnered international attention, with human rights organizations calling for his release and condemning the charges as politically motivated.

In this context, Professor Janabi's candidacy for leadership within the World Health Organization (WHO) becomes problematic.

Janabi, while a respected figure in the health sector, is now associated with a political climate that has demonstrated a blatant disregard for democratic principles and human rights.

The optics of supporting Janabi for a prominent global health role, especially when a prominent political figure like Lissu is being persecuted, raises ethical concerns.

Supporting Janabi under these circumstances could be perceived as tacit approval of the oppressive political environment in Tanzania.

It sends a message that the international community is willing to overlook serious violations of human rights for the sake of political or professional expediency.

This is particularly concerning for an organization like the WHO, which is fundamentally concerned with health equity and the well-being of populations.

The implications of Lissu's situation extend beyond Tanzania. They highlight the challenges faced by political leaders and activists in many parts of the world, where authoritarian regimes are increasingly using legal instruments to suppress dissent.

The struggle for democracy and human rights is a global issue, and the international community must be vigilant in its support for those who are unjustly persecuted.

Moreover, Lissu's case serves as a reminder of the interconnectedness of health and politics. The leadership of global health organizations like the WHO must be grounded in a commitment to human rights and democratic values.

As the world grapples with health crises, the ability of leaders to advocate for equitable health policies is often intertwined with their political freedoms. If a leader's candidacy is seen as emerging from a repressive regime, it could undermine their effectiveness and credibility on the global stage.

In conclusion, Tundu Lissu's wrongful imprisonment on treason charges raises critical questions about justice and political freedom in Tanzania.

It also casts a shadow over Professor Janabi's candidacy for leadership in the WHO. The international community must consider the implications of supporting candidates from countries where human rights abuses are prevalent.

Upholding democratic values and standing in solidarity with those who fight for justice is essential for fostering a healthier, more equitable world.

The situation calls for a careful examination of how political contexts influence global health leadership and the responsibilities that come with such roles.
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.

Raila alijitembeza hivyo hivyo Africa nzima mwishowe akabakia kulia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom