Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….Ak
FB_IMG_1741965820198.jpg
ili Mtu wangu
 
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
 
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….AkView attachment 3270332ili Mtu wangu
Ussr umehamia airtel au nikuamini hivi sasa kwa nia yako njema kwa chama pendwq Chadema?
 
VIpi kama an
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
ahitajika kwa nafasi ya kimkakati zaidi ya hiyo?
 
H
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….AkView attachment 3270332ili Mtu wangu
Hivi CCM mmekosa habari za kutuma kutoka kwenu hadi kila siku kuhangaika kutunga uongo dhidi ya Lissu na Chadema?
 
Bado kuna Idara za Tafiti,Sera na Mipango sijaziona. pia usalama na intelenjesia hata ile ya teknolojia ya mawasiliano? watapata huko. Huyu binti ni muhimu kumpta nafasi hiyo kwa maslahi ya kuleta uwiano wa kijinsia.
 
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
Hapo watasema uwiano wa kijinsia lakini sio sahihi

USSR
 
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
Huyo jamaa Lyenda Yuko njema Sana, anashawishi na anajua.
 
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….AkView attachment 3270332ili Mtu wangu
Huyo tayari viti maalumu na ashapewa nyumba chadema bila uzinzi haiwezekani!
 
Mwenyekiti anazotaarifa nyingi ambazo sie hatuna. Hao uliowataja wewe unawajua juujuu tu, lakini wanayo maisha nje ya mitandao ya kijamii.

Sitaki kumtuhumu mtu kuwa pandikizi la mfumo, lakini hali ya huko upinzani hususani wakati huu ambao mwenyekiti wa CDM sio "mtu wao" inhitaji umakini wa hali ya juu sana.
 
Pisi kali sana, acheni wajameni mke wa mwenyekiti yuko mbali sana
 
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….AkView attachment 3270332ili Mtu wangu
Huyu dada mbona ni die hard fan wa lissu tokea kampeni labda kama ulikua haumfahamu. Ni katibu machachari sana wa BAWACHA mkoa wa kinondoni. Kwahiyo hicho kiti anastahili kabisa, Lyenda alikuaga katibu kwa salum mwalimu na hata sasa hivi anaweza kuwa P.A wa Lissu au katibu wake personal kama mtu wa strategy zaidi sio front office.

Mfano David Djumbe ni right hand man wa Lissu miaka yote ila hana cheo maana ni personal assistant na dereva!! Kwahiyo ana influence ya moja kwa moja bila kuhitaji cheo ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom