Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
nadhani ni kwasabb hana alilichonacho huyo hapo pichani 🐒
 
Mke wa lisu anaishi marekani kwa hiyo mwenyekiti anamhitaji huyo dada awe mshauri wake wa karibu
 
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
Lyenda ana nafasi muhimu zaidi tulia
 
Lissu qnqjaribu kuzingatia Usawa wa kijinsia.
Haiko sawasawa kuwa na wajumbe wa Sekretariati wote wanaume.
 
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;

1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe

Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;

1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.

2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama

3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF

Ila ghafla bin VUU Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….AkView attachment 3270332ili Mtu wangu
Wanaoweza kushinda wenge la papuchi kwenye akili tuko wachache sana
 
Back
Top Bottom