Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
nadhani ni kwasabb hana alilichonacho huyo hapo pichani 🐒
 
Mke wa lisu anaishi marekani kwa hiyo mwenyekiti anamhitaji huyo dada awe mshauri wake wa karibu
 
Kwa kweli hata mimi sijui amemwachaje Lyenda, yule jamaa alimpambania mno Lissu wakati anagombea uenyekiti, tena kwa weledi mkubwa. Sijui kwa nini kamuacha. Huyo Lyenda alishiriki kwa kujitoa sana kuratibu kampeni za Lissu. Sijui kwa nini kamuacha.
Lyenda ana nafasi muhimu zaidi tulia
 
Lissu qnqjaribu kuzingatia Usawa wa kijinsia.
Haiko sawasawa kuwa na wajumbe wa Sekretariati wote wanaume.
 
Wanaoweza kushinda wenge la papuchi kwenye akili tuko wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…