Tundu Lisu asisahau 2010 walimzuia Zitto Kabwe kugombea Cheo cha Kiongozi wa Upinzani Bungeni wakidai hiyo ni Nafasi ya Mwenyekiti. Ule ni Udikteta

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.

Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi

Ahsanteni Sana 😂😂
 
Namkumbusha tu Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria Chadema mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi

Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa JMT kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi

Ahsanteni Sana 😂😂
We ni mnafiki kweli, hiyo nafasi huwa ya Mwenyekiti
 
Unafiki ndiyo sifa kuu ya ndugu yetu huyo.....

Bahati mbaya baadhi ya kundi kubwa la watanzania tunavutika sana na siasa za viongozi wenye ufasaha wa kuongea.....

Ndugu yetu huyo ana ufuasi wa "makasuku"....
 
Tundu Lissu huyu aliyatetea makampuni ya uchimbaji wa madini dhidi ya serikali...haikushangaza yeye kufanya kazi zake hizo a uwakili....

Kilichonishangaza ni pale baada ya muda kuipinga serikali akiwa na hoja za kisiasa dhidi ya "kuyabeba" makampuni hayo...UNAFIKI...

Kule kwenye uwakili hakufanya UNAFIKI...

Pale penye siasa akatambaa na UNAFIKI...

Ni kasuku
 
unadhani siasa ni michezo ya kuigiza?,
siasa ni maisha ya watu!
Kama unamjua mtu ni fisadi,ukawaambia wananchi kuwa huyu ni fisadi, kisha baadae ukataka mtu huyo aingie ikulu, basi wewe unakuwa si mtu mzuri
[emoji1787][emoji1787]
Pesa...

Fedha...

Ya kaizari....
 
Unafiki ndiyo sifa kuu ya ndugu yetu huyo.....

Bahati mbaya baadhi ya kundi kubwa la watanzania tunavutika sana na siasa za viongozi wenye ufasaha wa kuongea....
Ndugu yetu huyo ana ufuasi wa "makasuku"....
Kwa sababu ameshatia Nia ya kugombea uRais tutamfanyia SWOT analysis 😀😀
 
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.

Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi

Ahsanteni Sana 😂😂
sio tu kama mnafiki, ni mnafiki halisi katika ukamilifu wake 🐒
 
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.

Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi

Ahsanteni Sana 😂😂
Umeshawehuka sasa
 
Back
Top Bottom