johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
We ni mnafiki kweli, hiyo nafasi huwa ya MwenyekitiNamkumbusha tu Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria Chadema mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa JMT kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi
Ahsanteni Sana ππ
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumuLissu ndiye alikuwa muandishi wa list of shame iliyosomwa Mwembe-Yanga na Dr Slaa, iliyomuita Lowasa fisadi, lakini Lissu huyohuyo alimpokea na kumnadi Lowasa kugombea urais kupitia Chadema
unadhani siasa ni michezo ya kuigiza?,Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
Kwahiyo Naibu Katibu mkuu mh Zitto Kabwe alikuwa hajui hiyo kanuni?We ni mnafiki kweli, hiyo nafasi huwa ya Mwenyekiti
[emoji1787][emoji1787]unadhani siasa ni michezo ya kuigiza?,
siasa ni maisha ya watu!
Kama unamjua mtu ni fisadi,ukawaambia wananchi kuwa huyu ni fisadi, kisha baadae ukataka mtu huyo aingie ikulu, basi wewe unakuwa si mtu mzuri
Kwa sababu ameshatia Nia ya kugombea uRais tutamfanyia SWOT analysis ππUnafiki ndiyo sifa kuu ya ndugu yetu huyo.....
Bahati mbaya baadhi ya kundi kubwa la watanzania tunavutika sana na siasa za viongozi wenye ufasaha wa kuongea....
Ndugu yetu huyo ana ufuasi wa "makasuku"....
[emoji1787][emoji1787]Kwa sababu ameshatia Nia ya kugombea uRais tutamfanyia SWOT analysis [emoji3][emoji3]
πππππ[emoji1787][emoji1787]
Mimi nitadeal katika WEAKNESSES and THREATS.....
Kazi anayo...[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anatumika na CCM, tatizo waha nao wamejifunza ushirikina kutoka kwa wakingaKwahiyo Naibu Katibu mkuu mh Zitto Kabwe alikuwa hajui hiyo kanuni?
We Mrombo Bure kabisa π
sio tu kama mnafiki, ni mnafiki halisi katika ukamilifu wake πNamkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi
Ahsanteni Sana ππ
Umeshawehuka sasaNamkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wao siyo Mzuri sisi Wakongwe tunamuona kama Mnafiki fulani hivi
Ahsanteni Sana ππ
Sio lazima awe mwenyekiti,Hamad Rashid alikuwa kiongozi wa upinzani 2005-2010 bila kuwa mwenyekiti wa CUF.We ni mnafiki kweli, hiyo nafasi huwa ya Mwenyekiti
Alikuwa anatumika na CCM, tatizo waha nao wamejifunza ushirikina kutoka kwa wakinga
Hapana kuwa na Mwenyekiti juu yakeSio lazima awe mwenyekiti,Hamad Rashid alikuwa kiongozi wa upinzani 2005-2010 bila kuwa mwenyekiti wa CUF.
SawaLeo tumeshabaini anayetumika na CCM ni mwenyekiti, sijui huyo naye atafanywaje!