Pre GE2025 Tundu Lisu: Hata nikitaka kuanzisha Chama kipya Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu mimi ni mpinzani wa kweli!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli.

Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia Watu wanaburuzwa tu tofauti na Nchi ya Zanzibar ambako Wapemba wanajitambua kitambo sana.

Lisu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji Middle wa ITV aliyetaka kujua kama ana Mpango wowote wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa.

Soma Pia: Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!

Alhamis Mbarikiwe sana πŸ˜‚
 
Weka basi ushahidi wa tweet au clip ndiyo tuendelee kuchangia
 
Huko mbeleni huyu ataachana na saccos ina maana akija msajili mwingine ataunda chama chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…