johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia Watu wanaburuzwa tu tofauti na Nchi ya Zanzibar ambako Wapemba wanajitambua kitambo sana.
Lisu alikuwa anajibu swali la Mtangazaji Middle wa ITV aliyetaka kujua kama ana Mpango wowote wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa.
Soma Pia: Lissu: Sijafikiria kuhama CHADEMA kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa lakini hiyo haina maana Viongozi wake ni Malaika!
Alhamis Mbarikiwe sana 😂