Tundu Lisu kuwania Tuzo ya SHAKAROV(SHAKAROV PRIZE).

Tundu Lisu kuwania Tuzo ya SHAKAROV(SHAKAROV PRIZE).

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU miongoni mwa wanao wania tuzo hiyo kwa mwaka 2026.

Akitoa taarifa hiyo McCalister kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii,amesema hii ni kuonesha kwamba Tundu Lisu amekuwa mstari wa mbele katika kupigania haki,demokrasia na mifumo huru ya uchaguzi nchini Tanzania.

Kalenda ya tukio hili imeanmbatanishwa hapa.
 

Attachments

  • Draft calendar Sakharov Prize 2026 clean version.pdf
    Draft calendar Sakharov Prize 2026 clean version.pdf
    150 KB · Views: 11
  • nomination.jpg
    nomination.jpg
    343.7 KB · Views: 13
Back
Top Bottom