ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kwakweli ! ππNadhani somo la economics lingepaswa kuwa la lazma maana civics imefeli.
Imagine kuna mtu anadhani maendeleo yanayofanywa na serikali ni maendeleo yanayofanywa na CCM. Kana kwamba kuna sehemu CCM inatoa pesa za kufanya miradi isipokuwa kodi za wananchi.
CCM na serikali ni wasimamizi. Pesa zinatoka kwa wananchi kwa hiyo kila mwananchi anastahili kutumia chochote kinachoendelezwa hivyo, maendeleo sio hisani ila ni haki kwa kila mtanzania
Iwe itakavyokuwa impact ya Lisu hasa kuelekea uchaguzi huu italeta mabadiliko makubwa sana hapa nchini. Kilichotokea ndani ya cdm ni ishara ndogo ya athari ya mtu huyo.Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Ameanza kutetema ππ
Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama π
Kuendesha serekali ni uendelezaji wa miradi iliyopo, hata ndoto za lissu wenu zikajatimia ataendeleza robo robo zilizopo!, ndipo aanzishe mipya, nduguyo wa ardhi yupo salama.nipe miradi5 ya kiutu uzima serikali ya sa100 imekamilisha, acha maneno
Mpakwa Mafuta ukitaka kushindana nae aga kabisa nyumbani kwenu nakuandika wosia usiseme hatujakustua hiki ni kielelezo cha uwepo wa Mungu nanwanasema Mungu hajaribiwiTunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni
Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema
Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo
Ameanza kutetema ππ
Watanznaia wote watatibiwa humo bila kujali vyama vyao wala dini zao!, ile pesa tuliyomchangia Lissu kwa ajili ya gari jipya imekwenda wapi? Mana hatuoni gari jipya?
Kwa hiyo wamekuwekea na viroba kwenye profile yako kutokana na ulevi wako.Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama π