Tundu Lisu ni kama Daudi aliyewapelekea Kaka zake Chakula Uwanja wa Vita na kisha yeye Ndio akashinda Vita dhidi ya Goliath na kuwa shujaa!

Tundu Lisu ni kama Daudi aliyewapelekea Kaka zake Chakula Uwanja wa Vita na kisha yeye Ndio akashinda Vita dhidi ya Goliath na kuwa shujaa!

Nadhani somo la economics lingepaswa kuwa la lazma maana civics imefeli.

Imagine kuna mtu anadhani maendeleo yanayofanywa na serikali ni maendeleo yanayofanywa na CCM. Kana kwamba kuna sehemu CCM inatoa pesa za kufanya miradi isipokuwa kodi za wananchi.

CCM na serikali ni wasimamizi. Pesa zinatoka kwa wananchi kwa hiyo kila mwananchi anastahili kutumia chochote kinachoendelezwa hivyo, maendeleo sio hisani ila ni haki kwa kila mtanzania
Kwakweli ! 😂😂
Umepiga penyewe kabisa !
 
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.
 
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni

Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema

Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo

Ameanza kutetema 😄😄
Iwe itakavyokuwa impact ya Lisu hasa kuelekea uchaguzi huu italeta mabadiliko makubwa sana hapa nchini. Kilichotokea ndani ya cdm ni ishara ndogo ya athari ya mtu huyo.
 
Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama 😁

CCM haijawahi kuwa na hela hata shilingi ya kujengea miradi ILA yenyewe inaiba pesa zetu kupitia ruzuku.
 
nipe miradi5 ya kiutu uzima serikali ya sa100 imekamilisha, acha maneno
Kuendesha serekali ni uendelezaji wa miradi iliyopo, hata ndoto za lissu wenu zikajatimia ataendeleza robo robo zilizopo!, ndipo aanzishe mipya, nduguyo wa ardhi yupo salama.
 
Tunafuatilia Kwa karibu mno Mh Tundu Antipasi Lisu na utendaji wake Siasa ni

Vita ya kwanza aliyoshinda ni Uchaguzi Mkuu ndani ya Chadema

Vita iliyoko mbele yake amesema CCM Wana Bunduki Yeye ana Kombeo

Ameanza kutetema 😄😄
Mpakwa Mafuta ukitaka kushindana nae aga kabisa nyumbani kwenu nakuandika wosia usiseme hatujakustua hiki ni kielelezo cha uwepo wa Mungu nanwanasema Mungu hajaribiwi
 
Attachments

  • 20250215_211056.jpg
    20250215_211056.jpg
    71.9 KB · Views: 1
Ulichanga ngapi? Kama chawa ama mTz? Uliombwa? Hiyari au ulilazmishwa? Ati "... wote watatibiwa humo bila kujali vyama ..."!! Umexahau kuongeza "...hali ya uchumi... nk" ingependeza zaidi. Ukiwa na mazoea ya kvaa nguo za rangi ya kabichi, huhitaji kujitangaza wewe ni chawa au sio ...nk
Watanznaia wote watatibiwa humo bila kujali vyama vyao wala dini zao!, ile pesa tuliyomchangia Lissu kwa ajili ya gari jipya imekwenda wapi? Mana hatuoni gari jipya?
 
Wastage of time, CCM, Tupo handeni tunazindua miradi ya kiutu, kwa afya ya watanzania wote, mtatibiwa hapo bila kujali chama 😁
Kwa hiyo wamekuwekea na viroba kwenye profile yako kutokana na ulevi wako.
 
Back
Top Bottom