ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kwakweli ! 😂😂Nadhani somo la economics lingepaswa kuwa la lazma maana civics imefeli.
Imagine kuna mtu anadhani maendeleo yanayofanywa na serikali ni maendeleo yanayofanywa na CCM. Kana kwamba kuna sehemu CCM inatoa pesa za kufanya miradi isipokuwa kodi za wananchi.
CCM na serikali ni wasimamizi. Pesa zinatoka kwa wananchi kwa hiyo kila mwananchi anastahili kutumia chochote kinachoendelezwa hivyo, maendeleo sio hisani ila ni haki kwa kila mtanzania
Umepiga penyewe kabisa !