johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu your days are numbered, ufisadi na rushwa SASA BASI!!The most untrusted person in Tanzania is Lisu
Huyu huwezi kumwamini, msikilize
Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Mlale unono π
Mimi sina tatizo la Lisu kuwa M/Kiti. My concern ni namna anayoutafuta huo Uenyekiti ,Mkuu your days are numbered, ufisadi na rushwa SASA BASI!!
Mimi sina tatizo la Lisu kuwa M/Kiti. My concern ni namna anayoutafuta huo Uenyekiti ,
The most untrusted person in Tanzania is Lisu
Huyu huwezi kumwamini, msikilize
Mimi sina tatizo la Lisu kuwa M/Kiti. My concern ni namna anayoutafuta huo Uenyekiti ,
Very true. Ila Odelo mzinguzi kichizi kama mbuzi mla mbaazi.Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Mlale unono π
Hata Mch. Msigwa baada ya uchaguzi na kushindwa alitoa "a very strong speech" kwa HATAHAMA Chadema. Leo yupo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akiimba "CCM Nambari Wani"! Ahahahahaha!!Kauli ya Tundu Lisu... Hakuna kuhama chama na na uchaguzi tunashinda...kauli ya kiongozi
One of the qualities of good leader is to give a strong speech with very enough confidence.. Bravo... Tundu lisu
Hapo kwenye hakuna kushindwa, ni kama anaongea as if hakuna demokrasia ya kuchagua.Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Mlale unono π
Hapo kwenye hakuna kushindwa, ni kama anaongea as if hakuna demokrasia ya kuchagua.
Au ndo ule uchaguzi wa mwaka jana "NDIO/HAPANA "????
Kwani Lissu yumo kwenye bango la mkutano wa ccm? HUYO kwenye bango anatamani angekuwepo hapo na mwenzake sema basi tu Lissu mbeya "by mwamba" (mbeya ni mtu anayesema mambo ya kweli ila hajatumwa ayaseme) amemvurugia.Hata Mch. Msigwa baada ya uchaguzi na kushindwa alitoa "a very strong speech" kwa HATAHAMA Chadema. Leo yupo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akiimba "CCM Nambari Wani"! Ahahahahaha!!
Sasa hivi anasubiriwa Lissu!