Pre GE2025 Tundu Lisu: Nitashinda uchaguzi Namba ziko upande wetu Majimbo yote na Mikoa yote tunaongoza na sitohama chama!

Pre GE2025 Tundu Lisu: Nitashinda uchaguzi Namba ziko upande wetu Majimbo yote na Mikoa yote tunaongoza na sitohama chama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Mch. Msigwa baada ya uchaguzi na kushindwa alitoa "a very strong speech" kwa HATAHAMA Chadema. Leo yupo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akiimba "CCM Nambari Wani"! Ahahahahaha!!

Sasa hivi anasubiriwa Lissu!

Weka takwimu sawa sawa, siyo baada ya uchaguzi, bali baada ya kuibiwa uchaguzi!
 
Kwani Lissu yumo kwenye bango la mkutano wa ccm? HUYO kwenye bango anatamani angekuwepo hapo na mwenzake sema basi tu Lissu mbeya "by mwamba" (mbeya ni mtu anayesema mambo ya kweli ila hajatumwa ayaseme) amemvurugia.
Dogo usiingie kwenye mijadala ya wazi kama huna details.
 
Kauli ya Tundu Lisu... Hakuna kuhama chama na na uchaguzi tunashinda...kauli ya kiongozi
One of the qualities of good leader is to give a strong speech with very enough confidence.. Bravo... Tundu lisu
Lissu ni Mwamba .
 
Back
Top Bottom