Hata Mch. Msigwa baada ya uchaguzi na kushindwa alitoa "a very strong speech" kwa HATAHAMA Chadema. Leo yupo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akiimba "CCM Nambari Wani"! Ahahahahaha!!
Kwani Lissu yumo kwenye bango la mkutano wa ccm? HUYO kwenye bango anatamani angekuwepo hapo na mwenzake sema basi tu Lissu mbeya "by mwamba" (mbeya ni mtu anayesema mambo ya kweli ila hajatumwa ayaseme) amemvurugia.
Kauli ya Tundu Lisu... Hakuna kuhama chama na na uchaguzi tunashinda...kauli ya kiongozi
One of the qualities of good leader is to give a strong speech with very enough confidence.. Bravo... Tundu lisu