Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Ukiunganisha ajenda za wote wawili unapata nini? Jibu unalo.Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna atakavyotatua shida zao na siyo kuzungumzia shida za wanasiasa tu
Umenena vyemaKuna siku mtagindua Lisu ni mbinafsi na mbabe sana.Hata yule muumba anayegawa vitu alikuwa na sababu ya kuminya uchumi wake ili ampunguze makalo kiumbe wake
No Reform no Election. Shida za wananchi hata wewe unaweza kuzizungumziaNdiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna atakavyotatua shida zao na siyo kuzungumzia shida za wanasiasa tu
Kazungumzia ujinga. Kila mmoja ashinde mechi zake. Ccm si mko wengi, kwanini msitatue shida zao mpaka msubirie Mh Lissu?Umenena vyema
Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna atakavyotatua shida zao na siyo kuzungumzia shida za wanasiasa tu
Kwa sababu hamzungumzii shida zao watajikuta wanaendelea kuchagua ccmKazungumzia ujinga. Kila mmoja ashinde mechi zake. Ccm si mko wengi, kwanini msitatue shida zao mpaka msubirie Mh Lissu?
Pole sana kwa kutomwelewa Tundu Lissu.Ndiyo shida kubwa ya Lisu, hajui kabisa kuzungumzia shida za wananchi masikini wa kijijini,
Huwezi kumsikia Lisu akizungumzia uchumi, ajira, barabara, maji yeye ni kuzungumzia mambo yanayomhusu yeye tu yani uchaguzi.
John Heche anaeleweka haraka kwa wananchi kwa sababu anazungumza namna atakavyotatua shida zao na siyo kuzungumzia shida za wanasiasa tu
Sasa hapo kuna shida gani kama wanawachagua Ccm. Achaneni na Chadema kama wananchi wanawachagua. Nendeni mkatatue shida zao sasaKwa sababu hamzungumzii shida zao watajikuta wanaendelea kuchagua ccm
watu mnajuwa kuwakera wenzenu hadi wanataka kujinyonga😂😂😂No Reform No ELECTION.....kuna mutu hapati busingizi huko alipo kama Sultan Makange
Ndo kwanza tunatest mitambo shughuli INAKUYAA
Wananchi wa kawaida ambao ndiyo wengi na ndiyo wapiga kura ili wakuelewe lazima utaje shida zao kwanza na siyo kutaja shida zako tuPole sana kwa kutomwelewa Tundu Lissu.
Tundu Lissu yeye ameamua kwenda kwenye kiini cha tatizo la nchi hii.
Hayati Baba wa Taifa alisema "Ili nchi iweze kuendelea inahitaji vitu 4. Aridhi, watu, Siasa safi na utawala bora"
Mpaka sasa vitu 2 tunavyo (Aridhi na watu) viwili vilivyobaki (siasa safi na utawala bora) hivi ni matunda ya uchaguzi huru na haki.
Tundu Lissu anachopigania kwa sasa ni tume huru na haki ya uchaguzi ambayo itatupa siasa safi pamoja na utawala bora.
Jitaidi kumsikiliza Lissu kwa nia ya kujifunza kwani pale ni zaidi ya chuo.
Mnachimbwa chini kwa chiniHizo ni kelele tu za toothless barking dogs. Nchi Iko stable sana tu.