Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

Watanzania kuna wakati nahisi hatuna amani ila ni waoga, Kesho Lissu anaweza akakatwa au kupewa mashitaka kama huyo diwani na tusifanye lolote.
 
Kimsingi tayari amani ishavurugika , anasubiriwa muwasha sigara tu kwenye petroli
Si rahisi,jambo hili sio la kwanza.Lwakatare alizushiwa ugaidi akawa anapeleka mahakamani na kikosi kazi kwa mwendo mkali na bunduki zikiwa nje, mwisho ikaonekana ni uongo.Mdude Chadema kateswa na bado anaozea jela tena Mbeya huko huko na hakuna kilichotokea. Ofisi za Chadema zimechomwa,hakuna kilichotokea.

Watanzania tunatakiwa turudi nyuma na tuachie miaka mingine mitano ipite na tutakuwa na wasaa mzuri wa kufanya tathmini.Kupambana na CCM ni kupambana na dola,tukubali tu na tuwe watulivu.
 
Mtanyooka tu mlipo tupo!
 
Mgombea Udiwani wa Chadema Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery' shitaka hili halina dhamana so kapelekwa magereza.

Yajayo yanatisha.
 
Hii imekaa vyema. Tume wasipojibu nadhani wasijewalaumu baadae. Kwani Jeshi la Polisi (Wazee wa kutumika) wamesahau kuwa wagombea wa CCM nao wanaishi Uraiani.UONEVU SASA BASI.
 
Weka source ya information ikiwezekana charge sheet ili tuweze kwenda vizuri
We we charge sheet inakuhusu mini kama huamini si uende mahakamani ukaulize hiyo charge sheet.
 
Lakini nadhani hii kitu ni rahisi sana.
Chadema nendeni nyumbani kwa wagombea wa Ccm ondokeni nao hadi kesho kutwa. Pia hakikisheni mmeondoka na fomu zao za uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…