Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

Uchaguzi 2020 Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana

Majambazi wako Hadi maafisa wa polisi sembuse mgombea udiwani?
Mbona Raia wa Burundi aliyekwapua bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa hawamkamati? hata kununua kivuko kibovu cha Dsm-Bagamoyo kiufisadi ni ujambazi wa pesa za walipa kodi
 
Hii mishetani ndiyo maana YESU ALIISHUTI PEUPE KUWA. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO.. LAKINA HAYASIKII ALAFU YANATAKA KWENDA MBINGUNI. Waambie wanaowatuma kuonea watu wakumbuke kuwajengea mbingu yao ya matofari ya kuchoma.
Tena akaiambia "TOSHEKENI NA MISHAHARA YENU" mijinga sana hiyo mijitu
 
Uongozi wa nchi hii ni wa hovyo kabisa!! Lawama zote zinakwenda kwa wazee wa CCM ambao hata kuonya wanaogopa!!

Sawa, hii ni kuruhusu nchi kuingia katika vita vya kisiasa.

Lissu inabidi uwe makini kwa ulinzi wako kuanzia sasa, wanamageuzi nchini wanaingia vitani.
 
Si rahisi,jambo hili sio la kwanza.Lwakatare alizushiwa ugaidi akawa anapeleka mahakamani na kikosi kazi kwa mwendo mkali na bunduki zikiwa nje,mwisho ikaonekana ni uongo.Mdude Chadema kateswa na bado anaozea jela tena Mbeya huko huko na hakuna kilichotokea.Ofisi za Chadema zimechomwa,hakuna kilichotokea.
Watanzania tunatakiwa turudi nyuma na tuachie miaka mingine mitano ipite na tutakuwa na wasaa mzuri wa kufanya tathmini.Kupambana na CCM ni kupambana na dola,tukubali tu na tuwe watulivu.
kila siku siyo jumapili
 
Haitatukatisha tamaa. Mapambano bado yanaendelea
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mwaka huu ni lazima funzo litafutwe, ili kila mtu apate kutambua kuna vitu muhimu sana vya kuzingatiwa, navyo ni haki, utulivu na amani. Vyote vinategemeana ijapokuwa vinahubiriwa tofauti na wanasiasa uchwara, hasa wa chama tawala.
 
Mnawapitisha wahalifu kugombea na mmnataka NEC ndio iwakinge kwa uhalifu wao sababu tu ' wanagombea nafasi yeyote ile uchaguzi mkuu' , haikubaliki, mhalifu ni mhalifu.

Anavunja sheria anavuja sheria na sio kisingizio kuwa anagombea Urais, Ubunge , Udiwani. Wenye kutafuta kupitia njia hiyo kujisafisha wasikubaliwe kabisa.
 
Saddam, na Mubarak walikuwa na silaha wee huna. Leo wako wapi
Endelea kuota tu! Karibu barabarani Lissu ameshasema atawaingiza barabarani sijui nyinyi ni ng'ombe wakuingizwa tu barabarani bila nyinyi kutumia akili?!
 
Back
Top Bottom