mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Huna unalolijua zaidi yakuunga mkono tuMajambazi wako Hadi maafisa wa polisi sembuse mgombea udiwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unalolijua zaidi yakuunga mkono tuMajambazi wako Hadi maafisa wa polisi sembuse mgombea udiwani?
Mbona Raia wa Burundi aliyekwapua bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa hawamkamati? hata kununua kivuko kibovu cha Dsm-Bagamoyo kiufisadi ni ujambazi wa pesa za walipa kodiMajambazi wako Hadi maafisa wa polisi sembuse mgombea udiwani?
Tena akaiambia "TOSHEKENI NA MISHAHARA YENU" mijinga sana hiyo mijituHii mishetani ndiyo maana YESU ALIISHUTI PEUPE KUWA. MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO.. LAKINA HAYASIKII ALAFU YANATAKA KWENDA MBINGUNI. Waambie wanaowatuma kuonea watu wakumbuke kuwajengea mbingu yao ya matofari ya kuchoma.
Endelea kufurahia ujinga lakini nakuambia pakichacha hapa utatafuta pa kukimbiliaUnyang'anyi kwa kutumia Silaha Poleni CHADEMA na Jamii ya Vibaka wenzake.
Ili wahalifu wachekeweNdiyo maana Lissu anatakiwa awe rais
Tutafika wanakotaka tufike
kila siku siyo jumapiliSi rahisi,jambo hili sio la kwanza.Lwakatare alizushiwa ugaidi akawa anapeleka mahakamani na kikosi kazi kwa mwendo mkali na bunduki zikiwa nje,mwisho ikaonekana ni uongo.Mdude Chadema kateswa na bado anaozea jela tena Mbeya huko huko na hakuna kilichotokea.Ofisi za Chadema zimechomwa,hakuna kilichotokea.
Watanzania tunatakiwa turudi nyuma na tuachie miaka mingine mitano ipite na tutakuwa na wasaa mzuri wa kufanya tathmini.Kupambana na CCM ni kupambana na dola,tukubali tu na tuwe watulivu.
Haijaguswa familia yako ndiyo maanA.Safi sana,apo sheria imefata mkondo wake.
Kwakweli hongereni CCMUnyang'anyi kwa kutumia Silaha Poleni CHADEMA na Jamii ya Vibaka wenzake.
Hata Gadafi alikuwa Kama weweTunawasubiri kwa hamu ile mbayaaaaa!!
Saddam, na Mubarak walikuwa na silaha wee huna. Leo wako wapiTunawasubiri kwa hamu ile mbaya!!!
Endelea kuota tu! Karibu barabarani Lissu ameshasema atawaingiza barabarani sijui nyinyi ni ng'ombe wakuingizwa tu barabarani bila nyinyi kutumia akili?!Saddam, na Mubarak walikuwa na silaha wee huna. Leo wako wapi