Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

Endeleeni kuzurula wakati CCM ikiwa tayari imeshajisimika katika mioyo ya wana nyanda za juu kusini.

We jamaa huwa unaupumbafu mwingi,hao watu waliojitokeza hapo wamejitokeza kwa upendo wa dhati kabisa,ingekua ccm kupata watu kama hao hapo bodaboda wote wangeenda sheli kupata mafuta lita moja moja,vijiji vyote wangesombwa kwa mabasi na malori na buku 10 za kwenda mkutanoni,bila kusahau wasanii wangesombwa kuja kutumbuiza ili kuongeza hamasa ya watu kuja kwenye mkutano. Hivyo ndio mikutano ya ccm iliyokosa mvuto inavyojaa,
 
Back
Top Bottom