assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania.
Zaidi, Soma;
Uchaguzi 2020 - Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana
Zaidi, Soma;
Uchaguzi 2020 - Tunduma: Polisi Wawapandisha Kizimbani Wagombea Udiwani wa CHADEMA, Wadaiwa kufanya Wizi kwa kutumia Silaha, mmoja akosa dhamana