Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Mnyakyusa wa Mwakaleli huyo, jamaa Ndio Mwenyekiti wa Chadema Tunduma halafu anakubalika hatari.
Hyo ni mnyakyusa wa Selya babu yake mzaa mama yake tunamjua vizr sana na baba yake ni wa Ngana tunamjua vizuri iweje leo waseme sio Raia..kivip na kwanini na wanataka nini!!?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Kati ya kosa kubwa analolifanya Magu, ni kudhani kuwa ataiendesha kibabe Tanzania hasa katika uchaguzi wa mwaka huu!!!

Watanzania tumeshasema uonevu na ubabe sasa baasi!!! Watuue wote kama vipi na lazima ushahidi ufike uholanzi mwaka huu!!

Nawashauri watu wa tunduma kusanyeni ushahidi wote leo, kama wakiua kusanyeni, kama wakiteka kusanyeni alafu kama kawaida tunaupeleka sehemu husika.

Lazima wateme ndoano mwaka huu.
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Safi sana Chadema!!! Mpaka kieleweke mwaka huu
 
Hivi CCM kwa nini mnataka kulichonganisha jeshi letu la Polisi na wananchi? Kwa nini mnataka kila siku kuwe na tension?
Nilishawahi kusema humu kuwa IGP Sirro ataingia kwenye historia kuwa IGP wa hovyo kupata kutokea ndani ya Tanzania huru.
Atajiaibisha yeye, familia yake hata na mtoto wake mmoja kule Mwanza ambaye naye ni polisi.
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Kwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
 
Nilishawahi kusema humu kuwa IGP Sirro ataingia kwenye historia kuwa IGP wa hovyo kupata kutokea ndani ya Tanzania huru.
Atajiaibisha yeye, familia yake hata na mtoto wake mmoja kule Mwanza ambaye naye ni polisi.
Sio atajiaibisha. He is a very potential remandee wa The Hague. Utakuja niambia
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom