Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Mnyakyusa wa Mwakaleli huyo, jamaa Ndio Mwenyekiti wa Chadema Tunduma halafu anakubalika hatari.

Njia pekee ya CCM kushinda Tunduma ni kukamata wagombea wa Chadema kuwaweka ndani hadi zoezi la kurejesha fomu liishe halafu wapite bila kupingwa.

Kinyume na hapo ni ndoto ya mchana.
Wa Tukuyu Busokelo boss
 
Boniface Mwakabanje huyu hapa.



KUSANYIKO LA CHADEMA WAKIFANYA MAOMBI YA NGUVU KWA MUUMBA
Chama cha CHADEMA kipo na uhai wa kisiasa wa hali ya juu Tunduma, hawatetereki tizama maombi, mshikamano na michango ya wana Tunduma waliotoa wanachadema kwa Tundu Lissu. Kilio cha wanaCHADEMA na wananchi kimefikishwa kwa Bwana maana hatuna jeshi, jeshi la adui lina silaha kubwa na uzoefu lakini vita hii itapiganwa na Bwana na hakika Bwana atalishinda 'jeshi' la CCM kwa niaba yetu wanaotaka kutumia njia zisizo safi hata huu mwaka wa 2020

 
Uongozi JF ni waombe jukwa la siasa ikifika ijumaa saa6 usiku lifungeni mpaka jumatatu watu wakishakunywa supu kuondoa hangover. Michango kwenye hii thread mingi ni ya kilevi kilevi. Watu wameshalewa.

Hao wananchi wanaondamana kwenda kituo cha polisi wawe wa mfano kwa wengine maana Lissu keshawalisha ujinga.
Kama mama ako alivo lishwa dira na kofia za ccm
 
Mjinga mwingine huyu hapa; wape wamesema kama hauna kitambulisho wa Taifa wewe siyo raia?
Wewe ni Great thinker kweli??
Mgombea udiwani kukosa kitambulisho cha uraia ni uzembe uliopitiliza
 
Kama alikuwa hajarejesha form iyo kata wamebeba ila amani ya nchi hii polis mnaivuruga kwa nguvu kubwa kwanini Ocd hakugombea?
 
Safi sana Tunduma!!! Tena chukueni ushahidi wote. Akifa mtu au kujeruhiwa mtu tu tunatuma Amsterdam. Mwaka huu lazima wanyoke
OCD wa mbeya aliyemkamata Sugu huku leo akilinda umati wa Tulia Akson hana tofauti na huyo OCD wa Tunduma ambaye kaanza kuwabambikia kesi wapinzani mapema wote wataorozeshwa kwenye list kupelekwa mahakama ya uhalifu The Hague mara baada ya uchaguzi.
 
anagombea udiwani anakosa kitambulisho cha uraia?
Alikuwa hana kitambulisho cha uraia?

Lakini sio yeye tu kuna watanzania wengi hawajapata vitambulisho vya uraia hadi kufikia sasa.

Labda kuna lingine la zaidi vyombo vya dola vimeliona.
 
Back
Top Bottom