Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Kwahiyo hawataki Mamlaka zifanye kazi yake.
 
The Hague mmbwa Asiye Na meno.. watanzania/ upinzani msijisahaulishe.ova
 
Alikuwa hana kitambulisho cha uraia?

Lakini sio yeye tu kuna watanzania wengi hawajapata vitambulisho vya uraia hadi kufikia sasa.

Labda kuna lingine la zaidi vyombo vya dola vimeliona.
Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.
au inawezekana ameingia nchini siku za karibuni.
Its a shame kwa anayejiita mwanasiasa kukosa kitu muhimu kama kitambulisho cha uraia.
 
OCD wa mbeya aliyemkamata Sugu huku leo akilinda umati wa Tulia Akson hana tofauti na huyo OCD wa Tunduma ambaye kaanza kuwabambikia kesi wapinzani mapema wote wataorozeshwa kwenye list kupelekwa mahakama ya uhalifu The Hague mara baada ya uchaguzi.
Nae atapewa salamu zake soon. Kanda ya Kusini sio watu wa kispot kispot. Ukibeep wanakupigia kweli!! Kiufupi watanzania wamechoka uonevu, wameshasema uonevu sasa baaasi!!!
 
Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.
au inawezekana ameingia nchini siku za karibuni.
Its a shame kwa anayejiita mwanasiasa kukosa kitu muhimu kama kitambulisho cha uraia.
Ngoja tusubiri tujue kakamatiwa nini...
 
Kama alikuwa hajarejesha form iyo kata wamebeba ila amani ya nchi hii polis mnaivuruga kwa nguvu kubwa kwanini Ocd hakugombea?
 
Uraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
Mbona mkapa alikuwa raia wa msumbiji hamkumchunguza? hata huyo wa chato kwao ni Burundi iweje utawala huu wenu umekuwa utawala unaopenda kesi kesi? au burudani yenu ni kesi kesi?
 
Kwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
Akili za watu waliotepets mitindi utawajuwa kwani polisi ni uhamiaji wapuuzi wakubwa nyie
 
Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.
au inawezekana ameingia nchini siku za karibuni.
Its a shame kwa anayejiita mwanasiasa kukosa kitu muhimu kama kitambulisho cha uraia.

Kuna vitambulisho maalumu ya uraia kwa madiwani? Watu tuna mwaka wa pili huu unakaribia hatuna vitambulisho vya uraia zaidi ya namba, uzembe wa NIDA unamsumbuaje raia? Huyo mgombea udiwani ulitaka atumie mabavu huko NIDA kupata hicho kitambulisho?

NB: Weka list ya viwanda 100@mkoa ili tuone Tanzania ya viwanda na utekelezaji wa ilani ya ccm.
 
Back
Top Bottom