Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi waonevu wote wasomewe Albadiri kubwa wapate fundishoWana mbeya hakuna kurudi nyuma, uonevu sasa baaasi.
Wameshawatia kiberiti au mabomu yamewakimbiza?Tunduma naiaminia, wale sina wasiwasi nao
Sijawahi kuona CHADEMA wanaanzisha vurugu sehemu wasingekuwa wavumilivu kama sisi CCM kungeshachafukaga.Halafu wanasema chadema ndiyo wakorofi?!
Unajua Mandate ya Jeshi la Polisi?? Kasome sheria iliyoanzisha Jeshi la Polisj utaelewa Kibanga Ampiga MkoloniPolisi sio kazi yao kutambua raia. Hiyo ni kazi ya uhamiaji.
Yani wanatumja mbinu za TRD hawajui leo kuna wasafiWamekuwa makafara wa ccm.
Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.Alikuwa hana kitambulisho cha uraia?
Lakini sio yeye tu kuna watanzania wengi hawajapata vitambulisho vya uraia hadi kufikia sasa.
Labda kuna lingine la zaidi vyombo vya dola vimeliona.
Nae atapewa salamu zake soon. Kanda ya Kusini sio watu wa kispot kispot. Ukibeep wanakupigia kweli!! Kiufupi watanzania wamechoka uonevu, wameshasema uonevu sasa baaasi!!!OCD wa mbeya aliyemkamata Sugu huku leo akilinda umati wa Tulia Akson hana tofauti na huyo OCD wa Tunduma ambaye kaanza kuwabambikia kesi wapinzani mapema wote wataorozeshwa kwenye list kupelekwa mahakama ya uhalifu The Hague mara baada ya uchaguzi.
Ngoja tusubiri tujue kakamatiwa nini...Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.
au inawezekana ameingia nchini siku za karibuni.
Its a shame kwa anayejiita mwanasiasa kukosa kitu muhimu kama kitambulisho cha uraia.
Uonevu ndio chanzo Cha vurugu.Vurugu hazikubaliki
Mbona mkapa alikuwa raia wa msumbiji hamkumchunguza? hata huyo wa chato kwao ni Burundi iweje utawala huu wenu umekuwa utawala unaopenda kesi kesi? au burudani yenu ni kesi kesi?Uraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
Serikali ya kesi kesi ni Serikali ya uonevu mwingiCcm n wafu
Akili za watu waliotepets mitindi utawajuwa kwani polisi ni uhamiaji wapuuzi wakubwa nyieKwani hao raia Ni idara ya uhamiiaji? Wanamjua raia na asiye raia? Matatizo Mengine ya kujitakia wawache uhamiiaji wafanye kazi zao
Ni kweli kuna Raia wengi hawana ila kwa mgombea udiwani kukosa kitambulisho ina maana yupo out of touch na maswala ya URAIA/SIASA.
au inawezekana ameingia nchini siku za karibuni.
Its a shame kwa anayejiita mwanasiasa kukosa kitu muhimu kama kitambulisho cha uraia.
Baada ya uchaguzi kupita atafikishwa kwenye mahakama ya uhalifu The HagueIGP ziro kweli.