Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
Akili ulizonazo ni kugawa makalio tu polisi akichunguza urai wa mtu anamlaza ndani magufuli. Wanasema mrundi mbona kawa raisi
 
Akili ulizonazo ni kugawa makalio tu polisi akichunguza urai wa mtu anamlaza ndani magufuli. Wanasema mrundi mbona kawa raisi
Hata CDF Asili yake ni Burundi ndiyo maana magufuli kamng’ang’ania licha ya umri wake wa kustaafu kufika tokea 2017, hata IGP mda wake wa kustaafu ulishafika kitambo wanatembelea miaka ya nyongeza ngoja waendelee kuwaonea kuwanyanyasa wapinzani wakifikishwa mahakama ya uhalifu The Hague ndipo watajutia Ubaya wao , na watakumbuka ni kwa nini hawakustaafu mapema waeupeke mkono wa Sheria za kimataifa
 
Wewe ni Great thinker kweli??
Mgombea udiwani kukosa kitambulisho cha uraia ni uzembe uliopitiliza
Bashite hujawahi kuwa naakili Nida wametoa namba mpaka magufuli aliagiza zitolewe namba baada ya mradi wa vitambulisho bashite na magu kulahela zingine kupeleka kujenga mwanza so nyamaza acha uzuzu
 
Bashite hujawahi kuwa naakili Nida wametoa namba mpaka magufuli aliagiza zitolewe namba baada ya mradi wa vitambulisho bashite na magu kulahela zingine kupeleka kujenga mwanza so nyamaza acha uzuzu
Hadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
 
kuna kila dalili kwamba uchaguzi wa mwaka huu unaweza ukawa na machafuko kimsingi wenye mamlaka wanatakiwa kuwa makini sana juu ya maamizi wayafanyayo
 
Safi sana Tunduma!!! Tena chukueni ushahidi wote. Akifa mtu au kujeruhiwa mtu tu tunatuma Amsterdam. Mwaka huu lazima wanyoke
Ha ha ha ha na huyo jamaa anatwanga mabarua ni hatari. Yaani anaweka ushahidi tu ili ukienda kinyume tu inakula kwako.....
 
Hadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
Mtukufu ni Raia wa Burundi hata katibu mkuu wa CCM ni Raia wa Rwanda tena kiukoo wana Undugu na kagame nenda kawaulize kama wana vitambulisho vya uraia
 
Hadi wamachinga wana vitambulisho vya uraia sembuse mgombea udiwani?
Unajuwa nini weee hata mtoto ilibidi wachina wakusaidie machinga wanavitambulisho vya wizi ya magu na makondo wameti ndani bilioni 200 vitambulisho vya machinga wezi majambazi
 
PoliCCM wanataka muda wa kurudisha form upite ile CCM ishinde bila kupingwa.

Ni kwa nini CCM mnaojitapa mmefanya makubwa kwa miaka 5 leo mmekua waoga kama fisi wazee ?
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
We shall overcome, nothing has remained stable in human history from dark ages to the enlighted ages mabadiliko yametokea magharbi na mashariki yake, kasikazini na kusini yake.
 
CCM viongozi wa juu karibia wote Uraia wao ni wa mashaka yule Mzee mangula Asili yake ni Malawi, katibu mkuu kwao ni Rwanda na mwenyekiti wa CCM kwao ni Burundi na sasa wanamtumia Lipumba mwenye Asili ya Congo kwenda kuvuruga uchaguzi Tanzania, raia wageni wanaikoroga Nchi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka mwaka 2022 ambapo atatangaza uchaguzi upya
 
Back
Top Bottom