Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Huyo wanaedai sio raia wa Tz aliingia lini nchini?

Kwanini hawakumkamata muda wote huo wamesubiri mpaka mchakato wa uchaguzi uanze?
.c
Au alipitishwa na chama kugombea udiwani mara tu baada ya kuingkuwaia nchini?
Uraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
 
Nadhani polisi wameanza vitimbi vya kumwandalia mazingira Silinde, wananchi kabeni kila kona muwadhibiti hawa wachumia matumbo CCM na Silinde wao!
 
Hata kama siyo raia wa TZ?
Siyo raia wa Tanzania kivipi wewe unaamini ni intelligence gani iliyowaambia hao polisi kwamba siyo raia wa Tanzania kuzidi hao wananchi wanaotaka kumchagua?

Hicho kikundi cha polisi wote hapo ni wageni hakuna hata mmoja aliyezaliwa hapo ila leo wanakaa wanataka kuwaamulia wazaliwa wa hapo kwamba waongozwe na nani na wa chama gani,kwamba wakitaka aliye tofauti na matashi yao basi ataitwa raia haram.

Hizo zama zimeisha usikariri ujinga.
 
Uraia waweza chunguzwa muda wowote Bila kujali ulishika madaraka lini na muda gani Kiongozi wa vijana CCM mwananyamala alidakwa si raia,mkuu wa wilaya General ulimwengu alidakwa pia na uhamiiaji sembuse huyo mgombea udiwani
Wote wanaodai sio raia ni wale wasiokuwa sambamba na serikali.
 
Uongozi JF ni waombe jukwa la siasa ikifika ijumaa saa6 usiku lifungeni mpaka jumatatu watu wakishakunywa supu kuondoa hangover. Michango kwenye hii thread mingi ni ya kilevi kilevi. Watu wameshalewa.

Hao wananchi wanaondamana kwenda kituo cha polisi wawe wa mfano kwa wengine maana Lissu keshawalisha ujinga.
 
Huyo YEHODAYA, aliwahi kujitangaza humu kuwa anaomba tenda ya kumuua Lissu na haukupita muda Lissu akamiminiwa risasi. Labda anasahau JF kwa utunzaji wa kumbukumbu...ushahidi upo
Mkuu ule uzi uliomwanzishia ulipotelea wapi?
 
Sasa si waachie uhamiaji wafanye kazi zao ?
Hakuna kazi wanafanya hapo zaidi ya siasa uchwara. Yaani 2020 bado tunatumia mbinu za akina Mkapa (R.I.P), alafu wewe unatetea upuuzi wa kama huo.
 
Uongozi JF ni waombe jukwa la siasa ikifika ijumaa saa6 usiku lifungeni mpaka jumatatu watu wakishakunywa supu kuondoa hangover. Michango kwenye hii thread mingi ni ya kilevi kilevi. Watu wameshalewa.

Hao wananchi wanaondamana kwenda kituo cha polisi wawe wa mfano kwa wengine maana Lissu keshawalisha ujinga.
Kweli waueni wote ili tupate ushahidi mzuri!!! Lazima mteme ndoano mwaka huu nyie nzi wa kijani dadeki
 
anagombea udiwani anakosa kitambulisho cha uraia?
 
Back
Top Bottom