assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Mwaka huu inaitwa mwanakulitafuta mwanakulipata.Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!.
Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Hata kama siyo raia wa TZ?Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!!
Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Walikuwa wapi kutomkamata hapo kabla mpaka wasubiri uchaguzi?Hata kama siyo raia wa TZ?
Wanatakiwa kupigwa kiberiti ili wajue nchi hii si Mali ya CCMMkuu wa polisi na mkurungezi wamembiwa tu hakikisheni CCM inashinda basi wanajipeleka peleka tu mungu wangu
Huyo OCD utakumbuka hata mkutno w Lissu alitaka kuzuia usifanyike hadi alipo ambiwa RPC ana taarifa nao.Halafu wanasema chadema ndiyo wakorofi!
Wamekuwa makafara wa CCM.Mkuu wa polisi na mkurungezi wamembiwa tu hakikisheni CCM inashinda basi wanajipeleka peleka tu mungu wangu
Mnyakyusa wa Tukuyu huyo, jamaa Ndio Mwenyekiti wa Chadema Tunduma halafu anakubalika hatari.Hata kama siyo raia wa TZ?