Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Wapakateni hao wanamjua kuwa sio raia baada ya kutia nia kugombea udiwani?
Walikuwa wapi siku zote?
 
Wapakateni hao wanamjua kuwa sio raia baada ya kutia nia kugombea udiwani?
Walikuwa wapi siku zote?
Sometimes polisi wetu wanaonekana wanatumika na CCM, Kwanini hawatumii akili kufanya mambo yao? Siku zote walikuwa wapi kujua kwamba Mwakabanje si raia halali wa Jamhuri hii?
 
Nilishawahi kusema humu kuwa IGP Sirro ataingia kwenye historia kuwa IGP wa hovyo kupata kutokea ndani ya Tanzania huru.
Atajiaibisha yeye, familia yake hata na mtoto wake mmoja kule Mwanza ambaye naye ni polisi.
Unayakumbuka ya Omar Mahita!? Au ulikuwa mdogo kipindi hiko?
 
Niko Mkoa wa Songwe wilaya ya Songwe mjini Mkwajuni,
Nimekaa mgahawani napata chai.
Pembeni kumbe nimekaa na katibu wa UVCCM wilaya.
Amepiga simu kwa mwenzake wa Tunduma kuulizia hali ya hewa ilivyo Tunduma baada ya Silinde kupitishwa kupeperusha bendera ya Ccm. Jibu alilo pewa ni kwamba hali ni ngumu kama kura zita pigwa. Hivyo Ccm wakishirikiana na dola wanafanya utaratibu Silinde apitishwe bila kupingwa maana kwa kura Ccm hawata shinda.
Hii ina maana hata yanayo tokea hivi sasa hapo Tunduma ni maelekezo toka mahali. Chadema msikubali hili jambo litokee..
Pia kwa mazungumzo yake, kuna mkakati wa kupunguza kata zenye nguvu ya upinzani ili kazi iwe rahisi kutafuta kura za rais.
Najiukiza kama yote haya yana fanywa na chama tawala, na matumizi wa mabilioni ya pesa, lengo hasa ni nini? Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana. Wabunge na madiwani watia nia wa upinzani jilindeni maana kuounguza majimbo na kata ngumu ni hiyo kuwa teka na kuwa weka mahabusu..
Ushauri wangu ikitokea hiyo uchaguzi wa hayo majimbo na kata ukapingwe mahakamani..
 
Kutokana na uonevu kwa Raia wasio na hatia baadhi ya polisi na CCM wanaotenda MATENDO ya KISHETANI walaaniwe
 
Kutokana na uonevu kwa Raia wasio na hatia baadhi ya polisi na CCM wanaotenda MATENDO ya KISHETANI walaaniwe
Dawa yao sasa ni kuchukua namba zao za simu zinatumwa mitandaoni kisha watanzania kuwamiminia ujumbe kibao wapate fundisho
 
Tumeni namba hata za OCD wa mbeya yule OCDCCM aliyemnyanyasa Sugu kwa njia za kishetani na kuendelea kumlinda Tulia Akson kwa njia za kujipendekeza
 
Kilichotokea mjini Tunduma baada ya kuandamana mpaka kituo cha Polisi Tunduma kulishinikiza Jeshi la Polisi limuachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya majengo Mhe. Mwakabanje ambae anashikiliwa na Jeshi hilo kwa madai kuwa sio raia wa Tz.

Nb. Mwakabanje ni diwan tangu 2015. https://t.co/1neX3om4np



 
Back
Top Bottom