Niko Mkoa wa Songwe wilaya ya Songwe mjini Mkwajuni,
Nimekaa mgahawani napata chai.
Pembeni kumbe nimekaa na katibu wa UVCCM wilaya.
Amepiga simu kwa mwenzake wa Tunduma kuulizia hali ya hewa ilivyo Tunduma baada ya Silinde kupitishwa kupeperusha bendera ya Ccm. Jibu alilo pewa ni kwamba hali ni ngumu kama kura zita pigwa. Hivyo Ccm wakishirikiana na dola wanafanya utaratibu Silinde apitishwe bila kupingwa maana kwa kura Ccm hawata shinda.
Hii ina maana hata yanayo tokea hivi sasa hapo Tunduma ni maelekezo toka mahali. Chadema msikubali hili jambo litokee..
Pia kwa mazungumzo yake, kuna mkakati wa kupunguza kata zenye nguvu ya upinzani ili kazi iwe rahisi kutafuta kura za rais.
Najiukiza kama yote haya yana fanywa na chama tawala, na matumizi wa mabilioni ya pesa, lengo hasa ni nini? Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana. Wabunge na madiwani watia nia wa upinzani jilindeni maana kuounguza majimbo na kata ngumu ni hiyo kuwa teka na kuwa weka mahabusu..
Ushauri wangu ikitokea hiyo uchaguzi wa hayo majimbo na kata ukapingwe mahakamani..