Tunduru: Judith Sichalwe (29) sasa kuhamishiwa Mjini, ni baada ya kuzaa Mapacha wanne

Babu nawe[emoji23] historia hiyo[emoji23]

Nilivyoenda huko mbesa nilikuta haka ka habari kanatrend

Wazungu wa hapo hospital waliomba wakabidhiwe watoto wawili walee,wazazi wamegoma.
Ni shobo za wanasiasa tu wala hakuna historia wala nini. Siyapendi manasiasa basi tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Hivi kijijini na mjini wapi kuna unafuu wa maisha kwa kuangalia gharama za vyakula na huduma.
Mm naona kijijini kuna unafuu sana hasa kwenye vyakula labda nauli za usafiri na huduma za Afya. Ila kwa chakula na malazi kijijini pako vizuri sana
 
Afya Ndiyo kila kitu jombaa. Pasipo na huduma za Afya kama unaweza kupakimbia, kimbia haraka sana!!
 
Babu nawe[emoji23] historia hiyo[emoji23]

Nilivyoenda huko mbesa nilikuta haka ka habari kanatrend

Wazungu wa hapo hospital waliomba wakabidhiwe watoto wawili walee,wazazi wamegoma.
Wawa adopt na kusepa nao au wawasaidie tu kiungwana ?
 
Sidhani Kama wale wajerumani Wana tabia hiyo.Ingekuwa hivyo basi wengi wangekuwadopted.Nimekulia hapo kwenye hiyo missionary,tangu nazaliwa mpaka namaliza kidato cha nne aliyewahi kuwa adopted mmoja tu toka miaka ya tisini huko sasa ni mtu mzima Sana.Yuko ujerumani karithishwa mali waliomchukua baba na Mama walisharudisha faili.
 
Sasa wanakataaje msaada
 
Watoto wenye baraka za MUNGU, wamemtambulisha Judith...

Hakika MUNGU akitaka kukuketisha na wakuu hakuna wakupinga...
 
Hivi huu upumbavu wa ma DC na ma RC kutembea na majeshi nyuma bado unaendelea?
Nilidhani alikufa nao Jiwe.
Waaafrika tunapenda sana sifa na kutukuzwa
Hao ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.....

Hongera sana Mwl Judith Sichalwe.
 
Kwahiyo ndio akili zenu zilipoishia hapo?
Miaka 60 mmeshindwa hata kutoa maji safi hata kwa 50% ya wakazi wa Dar.
 
Hayo ya maji ni mjadala mwingine Sasa, ufungulie uzi tofauti tuje kuchangia
 
Back
Top Bottom