Bora walivyogoma.Babu nawe[emoji23] historia hiyo[emoji23]
Nilivyoenda huko mbesa nilikuta haka ka habari kanatrend
Wazungu wa hapo hospital waliomba wakabidhiwe watoto wawili walee,wazazi wamegoma.
Ni shobo za wanasiasa tu wala hakuna historia wala nini. Siyapendi manasiasa basi tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Babu nawe[emoji23] historia hiyo[emoji23]
Nilivyoenda huko mbesa nilikuta haka ka habari kanatrend
Wazungu wa hapo hospital waliomba wakabidhiwe watoto wawili walee,wazazi wamegoma.
Kwani wameonekana sura zao?Mianasiasa bana!
Kulikuwa na ulazima kweli wa kuvihangaisha vimalaika hivi kupiga navyo picha?
[emoji23][emoji23][emoji23]wanasiasa bana,Ni shobo za wanasiasa tu wala hakuna historia wala nini. Siyapendi manasiasa basi tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ingekula kwaoBora walivyogoma.
Afya Ndiyo kila kitu jombaa. Pasipo na huduma za Afya kama unaweza kupakimbia, kimbia haraka sana!!Hivi kijijini na mjini wapi kuna unafuu wa maisha kwa kuangalia gharama za vyakula na huduma.
Mm naona kijijini kuna unafuu sana hasa kwenye vyakula labda nauli za usafiri na huduma za Afya. Ila kwa chakula na malazi kijijini pako vizuri sana
Wawa adopt na kusepa nao au wawasaidie tu kiungwana ?Babu nawe[emoji23] historia hiyo[emoji23]
Nilivyoenda huko mbesa nilikuta haka ka habari kanatrend
Wazungu wa hapo hospital waliomba wakabidhiwe watoto wawili walee,wazazi wamegoma.
Sidhani Kama wale wajerumani Wana tabia hiyo.Ingekuwa hivyo basi wengi wangekuwadopted.Nimekulia hapo kwenye hiyo missionary,tangu nazaliwa mpaka namaliza kidato cha nne aliyewahi kuwa adopted mmoja tu toka miaka ya tisini huko sasa ni mtu mzima Sana.Yuko ujerumani karithishwa mali waliomchukua baba na Mama walisharudisha faili.Wawa adopt na kusepa nao au wawasaidie tu kiungwana ?
Sasa wanakataaje msaadaSidhani Kama wale wajerumani Wana tabia hiyo.Ingekuwa hivyo basi wengi wangekuwadopted.Nimekulia hapo kwenye hiyo missionary,tangu nazaliwa mpaka namaliza kidato cha nne aliyewahi kuwa adopted mmoja tu toka miaka ya tisini huko sasa ni mtu mzima Sana.Yuko ujerumani karithishwa mali waliomchukua baba na Mama walisharudisha faili.
Hao ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.....Hivi huu upumbavu wa ma DC na ma RC kutembea na majeshi nyuma bado unaendelea?
Nilidhani alikufa nao Jiwe.
Waaafrika tunapenda sana sifa na kutukuzwa
Kwahiyo ndio akili zenu zilipoishia hapo?Hao ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya.....
Hongera sana Mwl Judith Sichalwe.
Hayo ya maji ni mjadala mwingine Sasa, ufungulie uzi tofauti tuje kuchangiaKwahiyo ndio akili zenu zilipoishia hapo?
Miaka 60 mmeshindwa hata kutoa maji safi hata kwa 50% ya wakazi wa Dar.
Mtatiro ndio kanenepa hivi,, kwel pesa ni sabuni ya roho
Labda kwa sababu ana check noSasa wanakataaje msaada