Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
TAFUTA HELA KIJANA MDOGO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijigambi ndugu yangu. Hata hivyo hutakiwi kujivunia umasikini. Watanzania wengi wanapenda kuona kiongozi ni masikini, Kiongozi anapoomba kura akionekana ana umasikini basi huyo ndio anafaa. Mwendazake alikuwa anapenda kutumia neno wanyonge na watu walikuwa wanapenda kuitwa hivyo mimi hapana aisee sio mnyonge.Sipingi umuhimu wakua na hela ila ulioandika ni ushabiki na majigambo
[emoji23][emoji23][emoji23] uchungu gani ndugu yangu.nimesikia uchungu[emoji23]
sio ushabiki mkuuu ndo uhalisia, japo ni mchunguSipingi umuhimu wakua na hela ila ulioandika ni ushabiki na majigambo
Acha tu😂sio ushabiki mkuuu ndo uhalisia, japo ni mchungu
Jana ulikuwa wapi?Acha tu😂
bora uwe mrefu na midrange life kuliko tajiri mfupi😂Tafuta hela wewe siyo mfupi bhana
nilialikwa kwenye uzinduzi wa ikuluJana ulikuwa wapi?
Hatupendi kuambina ukweli. Kuna ndugu yangu yeye alikuwa na tabia ya kukutafuta siku akiwa na shida tu. Kuna siku nikamwambia basi hata siku ukiwa na raha tutafutane sio siku ya shida tu. Alipotea mazima toka 2012 sijawahi wasiliana nae tena.sio ushabiki mkuuu ndo uhalisia, japo ni mchungu
Ndo maana sikukuona bhana....hongera sananilialikwa kwenye uzinduzi wa ikulu
Sio jana ni kila siku kama nilivyosema hapo kwenye uzi. [emoji23]Ndugu, jana tu kukuomba pesa kidogo ushakuja kunitangaza JF, aiseee [emoji28]