Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
[emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta hela wewe siyo mfupi bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta hela wewe siyo mfupi bhana
mwache aende Mungu mwenye amesema nikumbuke siku za ujana wako( ukiwa na nguvu), sio umezeeka na magongo ndo ujifanye katekistiHatupendi kuambina ukweli. Kuna ndugu yangu yeye alikuwa na tabia ya kukutafuta siku akiwa na shida tu. Kuna siku nikamwambia basi hata siku ukiwa na raha tutafutane sio siku ya shida tu. Alipotea mazima toka 2012 sijawahi wasiliana nae tena.
🤣🤣🤣Tena?bora uwe mrefu na midrange life kuliko tajiri mfupi😂
Kabisa ndugumwache aende Mungu mwenye amesema nikumbuke siku za ujana wako( ukiwa na nguvu), sio umezeeka na magongo ndo ujifanye katekisti
Tafuta hela uache makasiriko. Kuombwa hela sio lazima uwe na billions kadhaa au millions kadhaa. Hata ukiwa na elfu 10 unaweza kuombwa tu. Acha makasiriko ndugu.Acha kujitapa eti una hela! Utalogwa bure pengine hata hela huna,ulimbukeni tu unakusumbua
Kumbuka mwenye hela huwa hajitangazi Bali hutangazwa.View attachment 2630027
Pesa sio kila kitu kwenye maisha haya, kuna vitu muhimu pesa haiwezi kuvitatua kabisa.......huo usemi wa tafuta pesa ni wa limbukeni.Mbali na semi nyingi zinazotrend kuhusu kutafuta hela kama vile..
1. Tafuta hela V8 sio gari ya serikali
2. Tafuta hela kitanda hakikai kwenye kona[emoji23]
3. Tafuta hela wanawake hawakai mbali na simu [emoji23]
Na nyingine kibao..
Hu usemi wa tafuta hela ndugu sio wachache nimeamini. Sina kiasi hicho ila namshukuru Mungu angalau kidogo naweza hata kula mara 3 kwa siku. Sasa ndugu zangu sijui wananionaje aisee. Unapigwa mizinga mpaka unatamani kuzima simu. Kwa siku lazima upokee simu 2 mpaka 4 sijui mie mtoto wa fulani, mie fulani, siku ya mwisho anataka hela imsaidie jambo fulani duh... ndugu zangu mie sina hela kihivyo maisha ni magumu kama lilivyo jina langu.
Tafuta hela uache kusumbua ndugu.
Basi usiende mzigoni , utajua hujuiPesa sio kila kitu kwenye maisha haya, kuna vitu muhimu pesa haiwezi kuvitatua kabisa.......huo usemi wa tafuta pesa ni wa limbukeni.
HahahaPesa sio kila kitu kwenye maisha haya, kuna vitu muhimu pesa haiwezi kuvitatua kabisa.......huo usemi wa tafuta pesa ni wa limbukeni.
asanteNdo maana sikukuona bhana....hongera sana
animation movie ya huyu mdoli inaitwaje?Acha kujitapa eti una hela! Utalogwa bure pengine hata hela huna,ulimbukeni tu unakusumbua
Kumbuka mwenye hela huwa hajitangazi Bali hutangazwa.View attachment 2630027
wewee😅Zaa 🤭🙈
Kumradhi 😂😂😂🏃♀️
ufupi jau🤣🤣🤣Tena?
Yeah, kabisa 🙄ufupi jau
4. Bora rafiki mmoja wa faida kuliko ndugu 100 wasio na faida, tafuta hela1. Tafuta hela V8 sio gari ya serikali
2. Tafuta hela kitanda hakikai kwenye kona![]()
3. Tafuta hela wanawake hawakai mbali na simu![]()
Na nyingine kibao..
We mfupi kumbe 🙄Yeah, kabisa 🙄
hakuna mwenye sura mbaya kny helaTafuta hela wewe siyo mfupi bhana