Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tunga Sentensi ikianza na maneno "Tafuta Hela"

Tafuta hela, mjini kumiliki gari sio lazima. Indrive na uber zimejaa 🤭
 
Tafuta Hela upigiwe simu Utafutwe kwenye simu, Tafuta Hela uheshimiwe,Tafuta Hela upate confidence, Tafuta Hela ule unachotaka na sio kinachopatikana
 
Tafuta Hela na katika kutafuta Bora kukata kiuno kuliko kukata tamaaa..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]
 
Tafuta Hela hakuna masikini jeuri ni makasiriko tu.

Tafuta Hela hakuna mwenye Hela akanuniwa na ndugu.

Tafuta Hela mapenzi yanakuja yenyewe.
 
Back
Top Bottom