Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
una UHAKIKA wananyooshana kidogo.Una uhakika binadamu wa siku hizi siyo wabishi sana...
Una uhakika inasikitisha sana...una UHAKIKA wananyooshana kidogo.
Weweeeeee weweeeeee weeeeeeee ππππππUNA UHAKIKA BICHWA KOMWE hana KIBWENYE au unajiropokea tu kama mpumbavu?
Piga kelele kwa BICHWA KOMWE akee! a.k.a MAMA KUBWA
Cc: Poor Brain Depal Kalpana binti kiziwi Mufti kuku The Infinity
Hilo kila mtu anajua ni tulitaka ukiri mwenyewe ππππHapana, Sina akili timamu
Una uhakika wewe ni mzee wangu.Una uhakika inasikitisha sana...
πππ afu shem mbona umenisusa sana kwanin lakini etiWeweeeeee weweeeeee weeeeeeee ππππππ
Na badoπ€£π€£Kwa hakika nna dipresheni
Unapromoti ushoga ila kijanja sana. Likely somo la Marketing ulipata A. Hongera!Nina uhakika mwamba ameshaleft group π π π
View attachment 3480383
Kwa hakika chanzo ni weweNa badoπ€£π€£