Tunga Sentensi kwa kuanza na neno UNAUHAKIKA

Una uhakika kuwa una kiwango kidogo cha utimamu wa akili?
Unapromoti ushoga ila kijanja sana. Likely somo la Marketing ulipata A. Hongera!

Umeona hiyo picha. Ikakuvutia. Ukaona mpaka uje kuianzishia uzi. LENGO LAKO HASA NI NINI KAMA SIYO KUPROMOTI USHOGA?. Mtu wa kawaida angeifuta mara moja na kuachana nayo maana inatia kichefuchefu.

Usikurupuke kutukana wala kupaniki. Dig deep into your psyche and subconscious mind. Hiyo picha imekuvutia nini mpaka ukaja kuianzishia uzi?
 
Upo sahihi kabisa mkuu,

Mwanaume anayejielewa as a Gentleman hawezi kupost hiyo picha,ni aibu,wanaume hatupo hivyo,

Huyo atakua kisha left group tayari.
 
Shindwaaaaaa!
Sishindwi ng'oo afu hizi tarehe zenyewe hizi upo wapi unitoe dipresheni na hata kapepsi pichani
FB_IMG_17588160672981071.jpg
 
Back
Top Bottom