Tunga Sentensi kwa kuanza na neno UNAUHAKIKA

Una uhakika kuwa una kiwango kidogo cha utimamu wa akili?
Unapromoti ushoga ila kijanja sana. Likely somo la Marketing ulipata A. Hongera!

Umeona hiyo picha. Ikakuvutia. Ukaona mpaka uje kuianzishia uzi. LENGO LAKO HASA NI NINI KAMA SIYO KUPROMOTI USHOGA?. Mtu wa kawaida angeifuta mara moja na kuachana nayo maana inatia kichefuchefu.

Usikurupuke kutukana wala kupaniki. Dig deep into your psyche and subconscious mind. Hiyo picha imekuvutia nini mpaka ukaja kuianzishia uzi?
 
Upo sahihi kabisa mkuu,

Mwanaume anayejielewa as a Gentleman hawezi kupost hiyo picha,ni aibu,wanaume hatupo hivyo,

Huyo atakua kisha left group tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…