Tunga Sentensi kwa kuanza na neno UNAUHAKIKA

Uhakika ni noun, siyo verb, kwa hiyo "Unauhakika" siyo neno moja bali ni maneno mawili "Una uhakika" Ni kama kwenye kusema "una pesa", ni tofauti na neno "unatembea" kwa vile "tembea" ni verb.
 
Unauhakika Jamiiforums imefungiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…